school

Escoba

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
75
Reaction score
18
wadau hv ni shule gani nzuri ambayo wanafundisha form five pia wana programme za ku-resit form four. nataka nimpeleke dogo amepata 4 ya 27 na ana credit moja tu ( C)
 
wadau hv ni shule gani nzuri ambayo wanafundisha form five pia wana programme za ku-resit form four. nataka nimpeleke dogo amepata 4 ya 27 na ana credit moja tu ( C)

Kama una fedha ya kuchagua Shule, kwanini usimpeleke Chuo akaanze Certificate? kwa maana ku resit na baadaye kupata principle angalau mbili ni probability kuliko kupitia certificate ambapo huwa tunahesamu muda tu m2 apate degree.
 
Ushauri mzuri kabisa..
 
Ajiunge na shule zinazotumia syllabus ya CAMBRIDGE Kama ana re~seat,au kunyoosha cheti.Mambo yamekaa sawa kuliko NECTA.Ajaribu Mt.Kilimanjaro School iliyopo MOSHI.
 
usiseme ni mtoto mfundishe kujitambua na kujiheshim then chuo ndo mpango mzma, kama ni wa kuharibikiwa ataharibikiwa popote
 
mdogo wangu nilimpeleka chuo akiwa around 21,na mungu alimsaidia. Imani mbele ndugu.
 
ajiunge na shule zinazotumia syllabus ya cambridge kama ana re~seat,au kunyoosha cheti.mambo yamekaa sawa kuliko necta.ajaribu mt.kilimanjaro school iliyopo moshi.
humtakii mema, kama huku kwenye mteremko amepiga four huko cambridge si ndiyo itakuwa balaaa-atazungusha saba mara sabini
 
wadau hv ni shule gani nzuri ambayo wanafundisha form five pia wana programme za ku-resit form four. nataka nimpeleke dogo amepata 4 ya 27 na ana credit moja tu ( C)
mkuu waweza pitia hii thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-.../221758-form-4-na-wengine-angalieni-hapa.html
 
Sio kweli mbona wa weza ku re seat hata masomo manne mpeleke dogo kama anauwezo mana mwaka huu mambo mabaya sana alikua jembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…