Inabidi sasa serikali/ wizara ya elimu ya juu itafute namna ya kunegotiate hizo scholarship zitolewe nchini kwenye vyuo vyenye hadhi badala ya watoto wa watu kujiweka hatarini kwa kwenda huko India
Kuishi India siyo lelemama! Unatakiwa uwe na roho ya paka! Sijapata kuona binadamu wachafu kama hao! I mean it! Nyie waoneni hawa wahindi wa hapa kariakoo etc, hehehehe wakiwa kwao hao ni wachafu zaidi ya hapo hata vyoo vinaunafuu! Pili ni wabaguzi hakuna mfano! Ila wao wakibaguliwa wataandamana na kupiga kelele kama mbwa koko!