Scholarship za Wizara ya Elimu

Scholarship za Wizara ya Elimu

Chum Kane

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
1,148
Reaction score
952
Salaam wajumbe wa jukwaa hili.

Nafasi za masomo zinazotangazwa na Wizara ya Elimu mbona magumashi...Wanatoa tangazo mathalani leo na mwisho wa kuwasilisha maombi yako ni siku nne baadae. Je, hii ni haki? Au wanakuwa tayari na watu wao na haya matangazo ni Geresha tu?

Mtanzania aliyeko Ruvuma anaweza vipi kupata hati ya kusafiria(Passport) ndani ya muda huo mchache na kuwasilisha copy yake? Nini maoni yako wewe mdau wa jukwaa hili la Elimu kuhusu hizi Scholarship za Wizara?

Karibuni.
 
inawezekana nao wamearifiwa late na walitoa hizo hizo scholarship wanahitaji hivyo, ila sina uhakika wa ulazima wa pasport kwenye hizo application
 
Mbona me nlipata hio scholar na sasa nipo dar wamenipa muda wa kutafuta passport..kikubwa ni wwe kufika wizarani ujaze form kwanza...ukiongea nao kwenye sim utakata tamaa..hakuna kitu kirahis kijana...mi ilinibid nsafir usiku kwa lori frm Arusha...so it's a matter of taking a step
 
Inatia moyo sana, asante mkuu.
 
Mbona me nlipata hio scholar na sasa nipo dar wamenipa muda wa kutafuta passport..kikubwa ni wwe kufika wizarani ujaze form kwanza...ukiongea nao kwenye sim utakata tamaa..hakuna kitu kirahis kijana...mi ilinibid nsafir usiku kwa lori frm Arusha...so it's a matter of taking a step

ni ya wapi umepata mkuu
 
Jamani aliye na uzoefu na hizi scholarship tupe data...
 
Me nimepata ya Algeria wakuu..kwa more nicheki 0658786166..for now bado nipo dar nafatilia passport wamesema mwisho alhamis
 
jamani nisaidieni kuhusu scholar ship za MOZAMBIQU Kwani kila nikijaribu kuapply through TCU inashindikana hivo nipeni msaada wa njia ambayo naweza kutumia
 
Back
Top Bottom