freelancer2302
Member
- May 29, 2014
- 83
- 23
Mbona muda wa application umeisha tangu March. Au wametoa tenaWatanzania kunaopportunity ya kwenda kusoma masters na phd kwenye field mbali mbali through this full scholarship offered by African Union. Nitaweka link muione vizuri. Mi ni mmoja wa waliochaguliwa for a master program through that scholarship. Yaan tuliochaguliwa ni wawili tu toka tanzania sababu hakuna watu wanaoapply. Wakati nchi nyingine ni 20 hadi 30
Watanzania kunaopportunity ya kwenda kusoma masters na phd kwenye field mbali mbali through this full scholarship offered by African Union. Nitaweka link muione vizuri. Mi ni mmoja wa waliochaguliwa for a master program through that scholarship. Yaan tuliochaguliwa ni wawili tu toka tanzania sababu hakuna watu wanaoapply. Wakati nchi nyingine ni 20 hadi 30