SCHOLARSHIP KWA DIPLOMA

Diploma ipi mkuu kuwa wazi.

Ila kama afya kuna kauafadhali.
 
Sawa kaka mm jinga kwel nakubal ila swala c kutukanana swala n kuelmshana tu na jib la mjinga wala ucmtukane coz najua me na ww tutakua naakil moja
Halaf ww kama unaona hayakuhuc c uwache mbna unaakil ndog ndug yang mm cjataja m2 ila nmeomba tu xx cha kkfany untukane n nn acha kua mpunguf waakili
Shenzi ww
Jinga kwel nenda ukasome shule kwanza nan akupe scholarship kusoma diploma pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msigombane. Omary we nenda shule mzee baba ukasome miaka yako 2 ukitoka hapo ukapige degree. Unataka uanze na madiploma huku mpaka ufike degree umri ushaenda. Kaa chini tuliza akili nenda advance.
Kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Diploma miaka miwili, advanced miaka miwili,
muacheni mtu afate anachokiona kinamfaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…