Mdau Makini
Member
- Sep 18, 2012
- 70
- 10
Ndugu wana JF habari,
Ninapata ugumu sana inapokuja kwenye suala la Scholarship za kusoma nchi za nje, hasa kwa nchi zinazo endelea. Kuna Scholarship naziona mitandaoni kama zile za Undergraduate, Masters na Phd kwa nchi zinazo endelea, mfano Chevening, commonwealth, Fulbright, mastercard na zinginezo. Kiukweli binafsi napenda kupata scholarship ya kusoma nje kwa level ya masters japo sina special reason zaid ya kubadilisha mazingira na kwenda kuona wenzetu wanajifunzaje. Najua hapa kuna watu wenye upeo mkubwa sana na mambo haya, wanaweza kutufumbua macho wengi wenye mawazo kama yang kama kuna uzur wa kusoma nje au la. Pia kila nikiangalia jinsi ya kuapply scholarship nyingi sielewi je ni lazima uwe kwenye taasisi fulan ndio u-apply?. Alafu nyingi zinaonesha kama kuna mzunguko mkubwa na vikwazo vingi mpaka uweze kupata scholarship. Naomba kama kuna kuna wenye uelewa vizuri na hizi scholarship wanisaidie mimi pamoja na wengine wenye tatizo kama langu. Inawezeka lilisha wahi kutolewa ufumbuzi hapa ila sijaliona, cha msingi tusaidiane!!. Ahsante.