Scholar claiming coronavirus was “Allah’s punishment” tests positive

Mie ninawasiwasi kua wewe ndio haujui. Unaonyesha Tamaa ya kutaka Ueleweke vile unavyotaka, ili kwamba ujisikie comfortable in your own skin.

Japokua mimi sio mtaalamu wa lugha ya kiswahili. Naskia kuna fasiri na tafsiri.

"Tafsir" maana yake. "Ni maana".

Jambo linaweza kuandikwa kiarabu lakini likapata "Neno" lenye maana sawasawa kwa lugha nyingine kama kiingereza. Na kwakua linakubalika kwa waislamu wanaozungumza kiingereza. Na kwakua wanaofanya kazi ya kutafsiri ni haohao waislamu wenyewe. The blame should be theirs.

Mtu yeyote atakayesema Muhammad ni Mtu Mweusi ni Lazima auwawe. Lakini ukisema hivyo kwa Allah hakuna atakayejali hata kukuchapa viboko. Just the tip of an iceberg.

#THE PRAISED ONE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…