Huko Iran wanapukutika taarifa ya jana kila baada ya dakika 10 mtu 1 anafariki inamaana kila baada ya saa 24 watu 144 wamefarikiHuyu msomi ni mpumbavu kabisa , huu ugonjwa umegusa kila eneo la dunia , sasa kama ni kwa ajili ya wachina kwanini unawaua adi mashia wenzake ?
Kwahiyo ukifa tajiri ndio kumjua Mungu ?Ndiomaana hamuendelei mnakufa masikini na mabalaa na mitihani huwakumba mara kwa mara halafu mnadai mnarogwa.
Weka sawa hoja yako.
Una maanisha "warabu waislamu" au unamaanisha "waislamu/waarabu" ambao hawapati kuruani viruses?.
Mfano tu hawataki makanisa nchi zao ila wao wanataka wawepo kila sehemuLakini Mashekhe point yao iko wazi China iache kuwabagua raia wake kwa misingi ya dini
Mara kadhaa wazo kuhusu 'Allah' limetumika kutimiza tamaa zake mwenyewe. i.e pretext.Ushaanza kuandika usivyovijua kwa makusudi au bahati mbaya , nani kakwambia ALLAH ndie Mohammad ?
Umeona sasa hizi ni kelele sio HOJA , mara ngapi QURAN imemueleza Mohammed kama mtu tu aliepewa unabii basiMara kadhaa wazo kuhusu 'Allah' limetumika kutimiza tamaa zake mwenyewe. i.e pretext.
Lakini nyuma yake alikua yeye anajilinda dhidi ya wale wanaotaka kumu-expose.
Kwanza lazima Utafautishe sifa na Jina, Mke wako akikuita Mpenzi, au Honey au Wamoyo wangu hio haimaanishi kua hilo ni jina lake. Hilo Habeeb, Muustafa, Shahid na mengineyo sio majina yake isipokuwa ni sifa alizopewa katika Quran.1. Swali la Msingi;
Jibu: Elohim ina maana ya mungu kihebrania. Huo ni ufafanuzi kwa mujibu wa kihebrania kama vile kiswahili tungesema Mungu wao wanatamka elohim.i.e generic name.
Kua huyo ni elohim wa waislamu.
2. Swali la ziada;
Haya yapo kwemye zole Websites zenu ambazo ni Sunni Islamic.
Nimeshaona wengi mna miscoception na dini yenu. Mf Wengi mtaani mnaamini Mo alikua na wake 11 wakati uhalisia ni wake 13.
Jibu:
1. Aḥmad "more praiseworthy" (Arabic: أحمد, Sura As-Saff 61:6
2. warner (nathir),[Quran 11:2)
3. witness (shahid),[Quran 33:45]
.habeeb(The beloved by Allah)
Moustafa(The Chosen/ Appointed)
.
.
Halafu inaonyesha huyu Ndiye mnamuabudu kwa kujua au kutojua. Maana anajiita "The praised One." (MUHAMMAD) Wakati jina lake ni qasim/Katheem. Ina maana Allah ni second after Mohammad.
Na pia yeye ana kibali cha kutenda dhambi, kuchukua mke wa mtu akimtamani. Nk.
Sio madai ndio ukweli kuwa Mohammed ni mtu kama mimi na wewe , alichonizidi yeye amepewa.UNABII kwa ajili ya kuongoza watu kutoka kwenye giza kuja kwenye Nuru , kwahili Mohammed anakuwa KIONGOZI hivyo tunapaswa.kumuheshimu na kumtii , ili ule ujumbe ufike kwa wakati na nidhamu iwepoJe Wewe unakubaliana na haya madai Kua Muhammad ni mtu "tu" aliyepewa unabii?
Mbona basi alimpinga Kristo kwa kuvunja amri za Mungu?Sio madai ndio ukweli kuwa Mohammed ni mtu kama mimi na wewe , alichonizidi yeye amepewa.UNABII kwa ajili ya kuongoza watu kutoka kwenye giza kuja kwenye Nuru , kwahili Mohammed anakuwa KIONGOZI hivyo tunapaswa.kumuheshimu na kumtii , ili ule ujumbe ufike kwa wakati na nidhamu iwepo
Kristo yupi huyo na wapi hapo alimpinga ?Mbona basi alimpinga Kristo kwa kuvunja amri za Mungu?
Kwanza lazima Utafautishe sifa na Jina, Mke wako akikuita Mpenzi, au Honey au Wamoyo wangu hio haimaanishi kua hilo ni jina lake. Hilo Habeeb, Muustafa, Shahid na mengineyo sio majina yake isipokuwa ni sifa alizopewa katika Quran.
Suala la Pili inaposema Elohim ni Mungu kwa Kihibrenia, kwa nini unakataa kua Allah ni Mungu hata kwa wakristo wanazungumza kiarabu? Au wakristo wa kiarabu wana jina jengine la Mungu badala ya Allah?
Inaonyesha Kiingereza kinakupiga chenga. Ni mmoja katika waliotukuzwa haimaanishi ni yeye peke yake au hakuna wengine waliotukuzwaSifa ya Muhammad kua "THE PRAISED ONE."
Who is praised Two?
Who is supposed to be praised? Allah or Mohammad.
Inaonyesha Kiingereza kinakupiga chenga. Ni mmoja katika waliotukuzwa haimaanishi ni yeye peke yake au hakuna wengine waliotukuzwa. Pili Quran haikuandikwa kwa kINGEREZA; jARIBU KUTAFUTA tAFSIRI YA Kiswahili; Ukishindwa Rudi kwenye Original yake ya Kiarabu. Na dio maana Qurani hairuhusiwi kuandikwa kwa lugha isiokua ya kiarabu. Kitabu chochote kikitafsiriwa kwenye zaidi ya moja hakiwezi kuwa sawa na Original - Ndio maana unapotafsiri Quran unatakiwa uandike "Allah aalam" kua Mungu pekee ndio anaejua alikusudia nini binaadamu unaweza kukosea
Basi sawa, Inaonyesha kweli sijui Kiingereza.Inaonyesha Kiingereza kinakupiga chenga. Ni mmoja katika waliotukuzwa haimaanishi ni yeye peke yake au hakuna wengine waliotukuzwa
Pili Quran haikuandikwa kwa kINGEREZA; jARIBU KUTAFUTA tAFSIRI YA Kiswahili; Ukishindwa Rudi kwenye Original yake ya Kiarabu. Na dio maana Qurani hairuhusiwi kuandikwa kwa lugha isiokua ya kiarabu. Kitabu chochote kikitafsiriwa kwenye zaidi ya moja hakiwezi kuwa sawa na Original - Ndio maana unapotafsiri Quran unatakiwa uandike "Allah aalam" kua Mungu pekee ndio anaejua alikusudia nini binaadamu unaweza kukosea