Scholar claiming coronavirus was “Allah’s punishment” tests positive

Allah kitu gani na nyie, hata kuponya hawez unaongea nn
 
Hebu Toa ushahidi wa hayo majina 99 ya Mtume Mohammad (SAW) kwenye Qur-an au hadithi.
. unanitengenezea mazingira ya mimi Kuhubiri Uislamu.

Wewe unakijua Kihibreish mpaka upinge kua Eliah sio Allah?
?

Shoshan’s Hebrew dictionary (The Hebrew equivalent of Webster’s English dictionary):
Defines, the word “allah” is understood specifically as the Muslim god by Hebrew speaking people despite its common root.


Mimi sikijui lakini ninaye rafiki yangu wa Karibu sana ambaye mpaka Giyur amesoma Israel mwaka mzima na hajapingapo hilo itakuwa wewe?

Your Friend is only using Taqiya goes by the name of "political correctness".
Political correctness means to advance lies when truth can hurt someone's sensitivity and he may turn violent.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe nikuelewe vipi? Wewe unasema kwa Waislam anaitwa Allah, sasa mbona wao wameandika Elohim? Yupi ndie yupi?
Sio mazingira ya kuhubiri Uislamu, sasa kama kwenye vitabu vyenu nyinyi vimendika kua Mtume Mohammada (SAW) ana majina 99, lakini kwenye Quran au hadithi hakuna ushahidi huo itakuwa nyinyi ndio munaongopea. Kwa hio nikushauri kabla kusema jambo ulilolisikia kwanza hakikisha kua ni kweli au ni uongo? Hio ndio itikadi ya uandishi unavyotakiwa. Naka wewe huna Elimu ya dini basi ni ukanyamaza tu
 

1. Swali la Msingi;

Jibu: Elohim ina maana ya mungu kihebrania. Huo ni ufafanuzi kwa mujibu wa kihebrania kama vile kiswahili tungesema Mungu wao wanatamka elohim.i.e generic name.
Kua huyo ni elohim wa waislamu.

2. Swali la ziada;
Haya yapo kwemye zole Websites zenu ambazo ni Sunni Islamic.
Nimeshaona wengi mna miscoception na dini yenu. Mf Wengi mtaani mnaamini Mo alikua na wake 11 wakati uhalisia ni wake 13.

Jibu:
1. Aḥmad "more praiseworthy" (Arabic: أحمد‎, Sura As-Saff 61:6
2. warner (nathir),[Quran 11:2)
3. witness (shahid),[Quran 33:45]

.habeeb(The beloved by Allah)

Moustafa(The Chosen/ Appointed)

.
.

Halafu inaonyesha huyu Ndiye mnamuabudu kwa kujua au kutojua. Maana anajiita "The praised One." (MUHAMMAD) Wakati jina lake ni qasim/Katheem. Ina maana Allah ni second after Mohammad.
Na pia yeye ana kibali cha kutenda dhambi, kuchukua mke wa mtu akimtamani. Nk.
 
Ushaanza kuandika usivyovijua kwa makusudi au bahati mbaya , nani kakwambia ALLAH ndie Mohammad ?
 
Mkuu tukiweka kipengele cha u myth ulichokuzungumzia (which I strongly promise you the God is real)

The rest of your post umetisha sana. A true definition of a great thinker

Kudos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utamuua huyu mwana [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…