We will perform a 1-3hrs system maintenance tonight (around 2200 East African Times). This' a critical system maintenance and hopefully you'll be patient during this maintenance.
Ahsante kwa taarifa. Ngoja tuangalie ustaarab mwingine nyakati hizo.
ZeMarcopolo, Sura-ya-Kwanza na Msanii natumaini watatuletea utunzi wao wa yaliyojiri kwa baadhi ya members wakati JF haiko hewani! Mara ya mwisho ZeMarcopolo alikuja na moja outstanding...Is he/she gonna outdo herself/himself or will be outdone by someone else... lets wait and see!
Hapana, kipindi kile ilikuwa ni MAJOR maintenance ikiwa inaambatana na kuunganisha (sijui kama napatia kiswahili chake) servers mbili (ya zamani na mpya) ili kuongeza ufanisi zaidi.