Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

Kivileeee.......ni maneno ya jinsia ya"ke".We ni dume kabisa kwa mawazo yako haya.Kwa nini una misemo ya kidemu demu/kimanzi manzi huoni kinyaa we dume zima?
Mpaka leo ulaya bado yapo ingawa si kivileeeee....
113 imeifunika mbaya toleo pendwa 124
 
Umenikumbusha la hesabu darasa la tatu lililouliza kilo moja ya jiwe na kilo moja ya pamba kipi kizito! Kph ni kipimo, ni sawa kwa kila kitu kinachotembea! If calibration is right hakutakua na tofauti ya 50 ya basi na 50 ya pikipiki. Tofauti tunayoipata kwenye magari yetu hutokana na kufanya marekebisho hasa kwenye saizi za tairi bila kufanya changes kwenye giabox hivyo tunapata wrong reading kwenye dashboard.
 
Speed za magari ni sawa kabisa. Ikiandikwa 50kph ni hiyo hiyo kwa mabasi na pikipiki.

Nimewahi kuendesha Ford hakuna basi lililonipita njia ya Sumbawanga Dar
Hakuna aliyenisogelea zaidi sana walinionya nisiende speed
 
Speed haisomi tairi kijana... Inasoma mzunguko wa gearbox acha kupotosha
 
Siikubali hii concept yako.

Speed ya ndege ni almost 800KPH.

Nayo inapimwaje?

Ninachofahamu S.I unit ya mwendokasi ni Kph.
Ndo umuulize jamaa yako anaesema mnaangalia speed matairi.. Kwa akili yako ile speed meter inachukua signal wapi kwenye gari kama sio kwenye gearbox??
 
Well said noted, torque kubwa inasaidia gari kua na acceleration kubwa
 
Nimeuliza kwa akili yako pikipiki inaweza kutembea speed 120 kama ya kwenye gari na dereva akahimili ule upepo wa speed hiyo?? Au tafuta gari hata hapo ulipo kisha ita pikipiki mwambie wote mtembee speed 120 halafu uone kama atasogea hata kwa ukaribu ulipo.. Speed ni tofauti kulingana na ukubwa wa chombo sio tairi.. Ukisema tairi unataka kusema tairi ya ist na pikipiki zinaweza kutembea sawa wakiwa wote speed 110?
 
Speed za magari ni sawa kabisa. Ikiandikwa 50kph ni hiyo hiyo kwa mabasi na pikipiki.

Nimewahi kuendesha Ford hakuna basi lililonipita njia ya Sumbawanga Dar
Hakuna aliyenisogelea zaidi sana walinionya nisiende speed
Kwenye pikipiki umedanganya nimekwambia pikipiki na gari wewe endesha pikipiki speed 120 na mwenye gari mwambie aendeshe hiyo speed uone kama mtafatana
 
Hata zaidi, inategemea na uwezo na ukubwa wa pikipiki yenyewe.... hapa sizungungumzii izi za kichina
 
Hii hua inatokea hasa baada ya watu kubadilisha rim na kuweka rim ya size (Diameter) tofauti na ile iliyotoka kiwandan bila ku calibrate gear box
 
Mkuu R480 tu ni za kuhesabu, R500 unaweza kusimama barabarani asubuhi mpaka jioni usiione! Sasa sijui matajiri wa hapa hawajapata ushauri makini kabla ya manunuzi?

Hebu nipe mwanga mkuu, kwanini umependekeza hiyo model?
 
Mkuu ujanielewa kama ungenisoma toka mwanzo usingejibu hivyo Man na Actros sio wanakuja vizuri ni zaidi ya Scania yard naponunua Scania unakuta Actros moja used unapata Scania mbili wananunua Wasomali sana maana waliamka kwenye hii kazi muda mrefu...Kumfananisha na Mchina hapana hapana nipo shule ya msingi nimeona Scania mpaka leo nina familia na roli nilikotoka walikua na Scania mpaka kesho lipo? Ndio ufananishe na zhongton?
 
Barabara za Tz, Scania ndo gari za kutumia kutokana na kuwepo Milima mingi, speed bump nyingi na rough road nyingi haswa magharibi mwa nchi.
Usidaganywe roli yeyote ni matunzo tuu Mkuu mimi nimetumia Tata Novus,Hino na Nipo na Scania na baadae ntaenda Iveco siyaogopi magari maana utunzaji wa kitu chochote unafanya kiwe bora kwani hakuna watu Scania zimewashinda? Mtu anataka kununua Benz Actros au Man diesel anata ushauri wa nini hapo...hayo makampuni wana Benz long nose ipo bara barani...sembuse hizi za kuanzia 2010 wataendesha hadi wajukuu
 
Mkuu R480 tu ni za kuhesabu, R500 unaweza kusimama barabarani asubuhi mpaka jioni usiione! Sasa sijui matajiri wa hapa hawajapata ushauri makini kabla ya manunuzi?

Hebu nipe mwanga mkuu, kwanini umependekeza hiyo model?
Matajiri wengi bongo wanaunua magari bila kuzingatia specifications, na ndo maana biashara ya Gari bongo ni Moja ya biashara kichaa Sana, kufilisika fasta!

R500 ni DC 16 litres engine, v8, 2300Nm torque @1300rpm, ni Moja ya engine za low Rev philosophy,, maana yake itafanya kazi kubwa katika low revolution, faida zake ni ulaji wa mafuta kidogo , litadumu Sana, na litakwenda popote bila kuchoka, a well kept V8 huwa inakwenda km 2000000 bila Shida

R500 napenda sababu ni Gari ya zamani ilianza kuingia 2005, sokoni hazina bei kali, ila performance yake ni super

Bado nawashangaa wanaosifia Benz over Swedish trucks, Latest Mercedes ya mwaka 2019 Mercedes Ina hp625 na torque ya 3000Nm, R620 Scania ya mwaka 2006 Ina hp 620 na torque ya 3000Nm Kiufupi Mercedes yupo nyuma miaka 13 in terms of Power, labda features nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…