Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

Unatafita ubishani tu! Unajua speed inasomwa kwenye nini? Pikipiki ukiiangalia imeandikwa speed meter inaenda hadi 120 unadhani hiyo 120 ni sawa na ya gari? Ukikaa kwenye gari iwe speed 120 ule upepo mwenye pikipiki angeweza kuhimili? Usidanganywe na maandishi wewe!! Speed inasomwa kwenye mzunguko wa gearbox so gari kubwa na ndogo hazifanani hilo tambua.. Nimeshaongozana sana na gari ndogo kwenye 50kph wakinifata mimi wanapigwa tochi na mimi nikifata 50 yao kwangu nakuwa 40kph au 44kph.. Ule mzunguko wa gearbox na tairi zikiwa kubwa itafanya mzunguko mmoja wa gari kubwa uwe tofauti na wa gari ndogo coz gearbox yake ndogo hadi tairi mzunguko ni mdogo, so tairi za scania ikienda mara 2 wewe itakubidi izunguke mara 3 ndo tutakuwa sawa maana yake kwenye kipimo cha speed utakuwa juu kuliko mimi mwenye gari kubwa... Ufahamu kuwa mimi nikiwa speed 110 ili unipite utatakiwa uwe zaidi ya 140 na gari yako
Umenikumbusha la hesabu darasa la tatu lililouliza kilo moja ya jiwe na kilo moja ya pamba kipi kizito! Kph ni kipimo, ni sawa kwa kila kitu kinachotembea! If calibration is right hakutakua na tofauti ya 50 ya basi na 50 ya pikipiki. Tofauti tunayoipata kwenye magari yetu hutokana na kufanya marekebisho hasa kwenye saizi za tairi bila kufanya changes kwenye giabox hivyo tunapata wrong reading kwenye dashboard.
 
Speed za magari ni sawa kabisa. Ikiandikwa 50kph ni hiyo hiyo kwa mabasi na pikipiki.

Nimewahi kuendesha Ford hakuna basi lililonipita njia ya Sumbawanga Dar
Hakuna aliyenisogelea zaidi sana walinionya nisiende speed
 
Ivi unajua kazi ya speed governor!? Na ndo maana Kuna kuwa na tolerance +5, -5, ya speed

Mimi nikiwa 160 ya Toyota Land cruiser wew njoo na scania 120 Kama utanipata?

Speed is the same if others factor are kept constant

Kama scania kwa 1 km atafanya rev labda 120 ya tairi lake mim wa gari ndogo engine yng itaproduce rev nyingi labda 300 kucover iyo 1 km

Maana speed tunaangalia Rev ya tair
Gari kubwa atakuwa na Rev ndogo ukilinganisha na gari ndogo

Hii ni sawa na mtu wa miaka 25 akimbizane na mtu wa miaka 14

Wanaweza kukimbia kwa speed sawa ila uyu mdogo ila uyu mdogo itabidi afanye kazi ya ziada!
Speed haisomi tairi kijana... Inasoma mzunguko wa gearbox acha kupotosha
 
Siikubali hii concept yako.

Speed ya ndege ni almost 800KPH.

Nayo inapimwaje?

Ninachofahamu S.I unit ya mwendokasi ni Kph.
Ndo umuulize jamaa yako anaesema mnaangalia speed matairi.. Kwa akili yako ile speed meter inachukua signal wapi kwenye gari kama sio kwenye gearbox??
 
Katika lugha rahisi saana, torque ni nguvu ya kuvuta kwa gari linalovutia mbele au nguvu ya kusukuma kwa RWD. Mara nyingi utasikia watu wakisema gari lina "pulling" kubwa. Au linachanganya haraka.

HP kubwa inafanya gari liweze kuwa na top speed kubwa. Torque kubwa inasaidia gari kufikia hiyo top speed haraka.
Well said noted, torque kubwa inasaidia gari kua na acceleration kubwa
 
Umenikumbusha la hesabu darasa la tatu lililouliza kilo moja ya jiwe na kilo moja ya pamba kipi kizito! Kph ni kipimo, ni sawa kwa kila kitu kinachotembea! If calibration is right hakutakua na tofauti ya 50 ya basi na 50 ya pikipiki. Tofauti tunayoipata kwenye magari yetu hutokana na kufanya marekebisho hasa kwenye saizi za tairi bila kufanya changes kwenye giabox hivyo tunapata wrong reading kwenye dashboard.
Nimeuliza kwa akili yako pikipiki inaweza kutembea speed 120 kama ya kwenye gari na dereva akahimili ule upepo wa speed hiyo?? Au tafuta gari hata hapo ulipo kisha ita pikipiki mwambie wote mtembee speed 120 halafu uone kama atasogea hata kwa ukaribu ulipo.. Speed ni tofauti kulingana na ukubwa wa chombo sio tairi.. Ukisema tairi unataka kusema tairi ya ist na pikipiki zinaweza kutembea sawa wakiwa wote speed 110?
 
Speed za magari ni sawa kabisa. Ikiandikwa 50kph ni hiyo hiyo kwa mabasi na pikipiki.

Nimewahi kuendesha Ford hakuna basi lililonipita njia ya Sumbawanga Dar
Hakuna aliyenisogelea zaidi sana walinionya nisiende speed
Kwenye pikipiki umedanganya nimekwambia pikipiki na gari wewe endesha pikipiki speed 120 na mwenye gari mwambie aendeshe hiyo speed uone kama mtafatana
 
Nimeuliza kwa akili yako pikipiki inaweza kutembea speed 120 kama ya kwenye gari na dereva akahimili ule upepo wa speed hiyo?? Au tafuta gari hata hapo ulipo kisha ita pikipiki mwambie wote mtembee speed 120 halafu uone kama atasogea hata kwa ukaribu ulipo.. Speed ni tofauti kulingana na ukubwa wa chombo sio tairi.. Ukisema tairi unataka kusema tairi ya ist na pikipiki zinaweza kutembea sawa wakiwa wote speed 110?
Hata zaidi, inategemea na uwezo na ukubwa wa pikipiki yenyewe.... hapa sizungungumzii izi za kichina
 
Hii hua inatokea hasa baada ya watu kubadilisha rim na kuweka rim ya size (Diameter) tofauti na ile iliyotoka kiwandan bila ku calibrate gear box
Unatafita ubishani tu! Unajua speed inasomwa kwenye nini? Pikipiki ukiiangalia imeandikwa speed meter inaenda hadi 120 unadhani hiyo 120 ni sawa na ya gari? Ukikaa kwenye gari iwe speed 120 ule upepo mwenye pikipiki angeweza kuhimili? Usidanganywe na maandishi wewe!! Speed inasomwa kwenye mzunguko wa gearbox so gari kubwa na ndogo hazifanani hilo tambua.. Nimeshaongozana sana na gari ndogo kwenye 50kph wakinifata mimi wanapigwa tochi na mimi nikifata 50 yao kwangu nakuwa 40kph au 44kph.. Ule mzunguko wa gearbox na tairi zikiwa kubwa itafanya mzunguko mmoja wa gari kubwa uwe tofauti na wa gari ndogo coz gearbox yake ndogo hadi tairi mzunguko ni mdogo, so tairi za scania ikienda mara 2 wewe itakubidi izunguke mara 3 ndo tutakuwa sawa maana yake kwenye kipimo cha speed utakuwa juu kuliko mimi mwenye gari kubwa... Ufahamu kuwa mimi nikiwa speed 110 ili unipite utatakiwa uwe zaidi ya 140 na gari yako
 
Nipo industry hiyo ila ni ushauri tuu, route uliyozumgumzia halafu ukanunua r420,? Ulikuwa serious kweli kwenye maamuzi? Mnapataga ushauri wapi?

Ni kweli actross ghali kwa sababu nyingi huwa ni below 1000000km mark, Scania unazoziona barabarani na kuzilinganisha na nyingi ni zaid ya million kilometers,

Get yourself R500 any day kwa hiyo route halafu uje unipe mrejesho
Mkuu R480 tu ni za kuhesabu, R500 unaweza kusimama barabarani asubuhi mpaka jioni usiione! Sasa sijui matajiri wa hapa hawajapata ushauri makini kabla ya manunuzi?

Hebu nipe mwanga mkuu, kwanini umependekeza hiyo model?
 
Scania asilinganishwe yeye ni Nani??

Tuache kukariri
Kuna machine za actros,, Man wanafanya poa

Ata Cummins Ni mshindani wa scania!!

Afu kingine Dongfeng Cummins 360 hP hii inaendana na 94 310hp scania

Kuna watu hawaitendei haki hii comparison eg :124 scania na Cummins .
Mkuu ujanielewa kama ungenisoma toka mwanzo usingejibu hivyo Man na Actros sio wanakuja vizuri ni zaidi ya Scania yard naponunua Scania unakuta Actros moja used unapata Scania mbili wananunua Wasomali sana maana waliamka kwenye hii kazi muda mrefu...Kumfananisha na Mchina hapana hapana nipo shule ya msingi nimeona Scania mpaka leo nina familia na roli nilikotoka walikua na Scania mpaka kesho lipo? Ndio ufananishe na zhongton?
 
Barabara za Tz, Scania ndo gari za kutumia kutokana na kuwepo Milima mingi, speed bump nyingi na rough road nyingi haswa magharibi mwa nchi.
Usidaganywe roli yeyote ni matunzo tuu Mkuu mimi nimetumia Tata Novus,Hino na Nipo na Scania na baadae ntaenda Iveco siyaogopi magari maana utunzaji wa kitu chochote unafanya kiwe bora kwani hakuna watu Scania zimewashinda? Mtu anataka kununua Benz Actros au Man diesel anata ushauri wa nini hapo...hayo makampuni wana Benz long nose ipo bara barani...sembuse hizi za kuanzia 2010 wataendesha hadi wajukuu
 
Mkuu R480 tu ni za kuhesabu, R500 unaweza kusimama barabarani asubuhi mpaka jioni usiione! Sasa sijui matajiri wa hapa hawajapata ushauri makini kabla ya manunuzi?

Hebu nipe mwanga mkuu, kwanini umependekeza hiyo model?
Matajiri wengi bongo wanaunua magari bila kuzingatia specifications, na ndo maana biashara ya Gari bongo ni Moja ya biashara kichaa Sana, kufilisika fasta!

R500 ni DC 16 litres engine, v8, 2300Nm torque @1300rpm, ni Moja ya engine za low Rev philosophy,, maana yake itafanya kazi kubwa katika low revolution, faida zake ni ulaji wa mafuta kidogo , litadumu Sana, na litakwenda popote bila kuchoka, a well kept V8 huwa inakwenda km 2000000 bila Shida

R500 napenda sababu ni Gari ya zamani ilianza kuingia 2005, sokoni hazina bei kali, ila performance yake ni super

Bado nawashangaa wanaosifia Benz over Swedish trucks, Latest Mercedes ya mwaka 2019 Mercedes Ina hp625 na torque ya 3000Nm, R620 Scania ya mwaka 2006 Ina hp 620 na torque ya 3000Nm Kiufupi Mercedes yupo nyuma miaka 13 in terms of Power, labda features nyingine
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom