Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

Scania ndugu zake ni Man diesel,Benz Actros ninashangaa kumfananisha na vitu vya ajabu ajabu kila kukicha...kuna jamaa jirani yetu wana 113 toka utawala wa Mwalimu Nyerere mpaka kesho wanayo na inaenda DRC...
Nisaidie kuwashangaa.. Scania na Yutong daahh dharau sana!
 
Sawa mkuu nimedanganya ivi unafikiri wale waliotengeneza gari Ni machizi au?

Kama ni kweli kuna variation kubwa ya speed kiasi icho Nini maana ya tochi?
Basi Kama Ni ivo mabasi yangekuwa na tochi yake na gari ndogo zingekuwa na tochi yake!

Acha kukariri

Nipe TLC nitembee 160 afu lete Basi lako la 120 Kama litanipa !!

Nakupa hela
Hili lina ukweli asilimia zote.. Nimeendesha Bus flani ni scania 114, hp380 nilikuwa nainuka kitonga na 70kph kama hakuna vicheche mbele! Na mtoa mada kadanganya kuwa kisa speed ya zhongtong ni 140 basi mwendo ni mkubwa kuliko scania yenye 120kph. Aangalie ukiwa na gari ndogo unatembea 160kph lakini itakuja bus scania yenye 120kph inakukata kama umesimama... Nadhani ameangalia tu maandishi kwenye darshbod ila hajawahi kuzijaribu apate uhakika wa anachoandika.. Kingine kasema golden deer zinasumbua sana scania, amesahau kwasasa gari zote zinatembea mwendo sawa ila ushapu wako kwenye vituo au kuweza kulipia tochi za kwenye 50kph zitakufanya njia nzima utembee 84kph wakati mwenzio akifika kwenye 50kph anapunguza, unategemea watafika sambamba?? Saizi kuwahi zaidi ya mwenzio ni ujanja wako tu njiani sio uwezo wa gari. Labda kupanda milima tu ndo scania itawahi zaidi kumaliza
 
Mkuu kama International ni gari ya kimarekani wao kweli ni bora Zimbabwe yamejaa hayo tuu utadhani wanapewa bure na uliza bei yake na ubora kama unafanana na International...Wasomali tunaonunua nao magari minada ya SA wanawashangaa watanzania kukariri na Scania wakati kuna Actros za kibabe zaidi Scania hapo anasubiri mbali Sana...
Barabara za Tz, Scania ndo gari za kutumia kutokana na kuwepo Milima mingi, speed bump nyingi na rough road nyingi haswa magharibi mwa nchi.
 
Scania asilinganishwe yeye ni Nani??

Tuache kukariri
Kuna machine za actros,, Man wanafanya poa

Ata Cummins Ni mshindani wa scania!!

Afu kingine Dongfeng Cummins 360 hP hii inaendana na 94 310hp scania

Kuna watu hawaitendei haki hii comparison eg :124 scania na Cummins .
Ni dharau sana aisee yaani zipo Scania ukiziangalia kwa hizi horse hadi moyo unaenda mbiyo...mtu anatoka huko anafanisha na zhongton sijui....
 
Mkuu una krem tatizo apa sasa ivi nipo DMG 613 naitafuta swax uyo majinja yupo nyuma sna
Newforce wanapata advantage ya kukaa karibu na mlango wa kutokea inawasaidia, kutoka mapema, mimi huwa nazipima zikitoka Swanga maana pale zinaondoka muda 1, ile Volvo ya Majinja newforce huwa hatii mguu na wanaifahamu, labda haihujumu kwa matraffic ili isimamishwe waicheleweshe
 
Scania asilinganishwe yeye ni Nani??

Tuache kukariri
Kuna machine za actros,, Man wanafanya poa

Ata Cummins Ni mshindani wa scania!!

Afu kingine Dongfeng Cummins 360 hP hii inaendana na 94 310hp scania

Kuna watu hawaitendei haki hii comparison eg :124 scania na Cummins .
Kwa Durability Scania inapeta
 
Huyo mbishi tu lakini mimi nimemwambia kitu ambacho nimeshuhudia mara nyingi,japo sometime hutokea Majinja akachelewa kufika ila mara chache kingine ukitaka kujua huo ni uongo kwa spidi 80 hakuna gari inayofika tunduma saa 11 kasoro
Usidanganyike na hiyo page insta! Gari hiyo ilisumbua ndo ikaachwa saa zima na kidogo.. Zhongtong na Volvo ni Mbali sana ndugu..
 
Mwambie huyo mimi sijasimuliwa hiyo Volvo hakuna anayefuata watu huzipenda Newforce kwa ajili ya bodi tu na ile kupewa soda na maji
Newforce wanapata advantage ya kukaa karibu na mlango wa kutokea inawasaidia, kutoka mapema, mimi huwa nazipima zikitoka Swanga maana pale zinaondoka muda 1, ile Volvo ya Majinja newforce huwa hatii mguu na wanaifahamu, labda haihujumu kwa matraffic ili isimamishwe waicheleweshe
 
Mimi ni mmbishi sikuzidi wew iyo ni Jana nilikua Na Golden deer ya Swax sijui aliingia saa ngap majinja??

Maana alikalishwa!
Huyo mbishi tu lakini mimi nimemwambia kitu ambacho nimeshuhudia mara nyingi,japo sometime hutokea Majinja akachelewa kufika ila mara chache kingine ukitaka kujua huo ni uongo kwa spidi 80 hakuna gari inayofika tunduma saa 11 kasoro
Screenshot_20190901-094417.jpeg
 
Sawa mkuu nimedanganya ivi unafikiri wale waliotengeneza gari Ni machizi au?

Kama ni kweli kuna variation kubwa ya speed kiasi icho Nini maana ya tochi?
Basi Kama Ni ivo mabasi yangekuwa na tochi yake na gari ndogo zingekuwa na tochi yake!

Acha kukariri

Nipe TLC nitembee 160 afu lete Basi lako la 120 Kama litanipa !!

Nakupa hela
Unatafita ubishani tu! Unajua speed inasomwa kwenye nini? Pikipiki ukiiangalia imeandikwa speed meter inaenda hadi 120 unadhani hiyo 120 ni sawa na ya gari? Ukikaa kwenye gari iwe speed 120 ule upepo mwenye pikipiki angeweza kuhimili? Usidanganywe na maandishi wewe!! Speed inasomwa kwenye mzunguko wa gearbox so gari kubwa na ndogo hazifanani hilo tambua.. Nimeshaongozana sana na gari ndogo kwenye 50kph wakinifata mimi wanapigwa tochi na mimi nikifata 50 yao kwangu nakuwa 40kph au 44kph.. Ule mzunguko wa gearbox na tairi zikiwa kubwa itafanya mzunguko mmoja wa gari kubwa uwe tofauti na wa gari ndogo coz gearbox yake ndogo hadi tairi mzunguko ni mdogo, so tairi za scania ikienda mara 2 wewe itakubidi izunguke mara 3 ndo tutakuwa sawa maana yake kwenye kipimo cha speed utakuwa juu kuliko mimi mwenye gari kubwa... Ufahamu kuwa mimi nikiwa speed 110 ili unipite utatakiwa uwe zaidi ya 140 na gari yako
 
Asante mkuu uneongea kwa mifano asipoelewa usimueleweshe tena.mimi nimesafiri Sana na prvt car Kuna mda Nina kuwa 100 unashangaa bus linachomoka linakuja kunipita Kama ninesimama.ila kunasiku nilisafiri nikakaa siti ya nyuma kwa dreva ilikuwa abood ya moro ,gari ikifika speed 100 yaan Mimi nilikuwa naona ile speed sio ya kitoto jamaa anapita magari madogo Kama yamesimama..

Ahsante kwakuwa uliona mwenyewe tofauti ilivyo, huyu anakuja na maelezo ya kwenye maandishi bila kujua hiyo speed inasomwa kwenye nini.. Na akikanusha tena nanyamaza ashinde yeye
 
Ivi unajua kazi ya speed governor!? Na ndo maana Kuna kuwa na tolerance +5, -5, ya speed

Mimi nikiwa 160 ya Toyota Land cruiser wew njoo na scania 120 Kama utanipata?

Speed is the same if others factor are kept constant

Kama scania kwa 1 km atafanya rev labda 120 ya tairi lake mim wa gari ndogo engine yng itaproduce rev nyingi labda 300 kucover iyo 1 km

Maana speed tunaangalia Rev ya tair
Gari kubwa atakuwa na Rev ndogo ukilinganisha na gari ndogo

Hii ni sawa na mtu wa miaka 25 akimbizane na mtu wa miaka 14

Wanaweza kukimbia kwa speed sawa ila uyu mdogo ila uyu mdogo itabidi afanye kazi ya ziada!
Unatafita ubishani tu! Unajua speed inasomwa kwenye nini? Pikipiki ukiiangalia imeandikwa speed meter inaenda hadi 120 unadhani hiyo 120 ni sawa na ya gari? Ukikaa kwenye gari iwe speed 120 ule upepo mwenye pikipiki angeweza kuhimili? Usidanganywe na maandishi wewe!! Speed inasomwa kwenye mzunguko wa gearbox so gari kubwa na ndogo hazifanani hilo tambua.. Nimeshaongozana sana na gari ndogo kwenye 50kph wakinifata mimi wanapigwa tochi na mimi nikifata 50 yao kwangu nakuwa 40kph au 44kph.. Ule mzunguko wa gearbox na tairi zikiwa kubwa itafanya mzunguko mmoja wa gari kubwa uwe tofauti na wa gari ndogo coz gearbox yake ndogo hadi tairi mzunguko ni mdogo, so tairi za scania ikienda mara 2 wewe itakubidi izunguke mara 3 ndo tutakuwa sawa maana yake kwenye kipimo cha speed utakuwa juu kuliko mimi mwenye gari kubwa... Ufahamu kuwa mimi nikiwa speed 110 ili unipite utatakiwa uwe zaidi ya 140 na gari yako
 
Unatafita ubishani tu! Unajua speed inasomwa kwenye nini? Pikipiki ukiiangalia imeandikwa speed meter inaenda hadi 120 unadhani hiyo 120 ni sawa na ya gari? Ukikaa kwenye gari iwe speed 120 ule upepo mwenye pikipiki angeweza kuhimili? Usidanganywe na maandishi wewe!! Speed inasomwa kwenye mzunguko wa gearbox so gari kubwa na ndogo hazifanani hilo tambua.. Nimeshaongozana sana na gari ndogo kwenye 50kph wakinifata mimi wanapigwa tochi na mimi nikifata 50 yao kwangu nakuwa 40kph au 44kph.. Ule mzunguko wa gearbox na tairi zikiwa kubwa itafanya mzunguko mmoja wa gari kubwa uwe tofauti na wa gari ndogo coz gearbox yake ndogo hadi tairi mzunguko ni mdogo, so tairi za scania ikienda mara 2 wewe itakubidi izunguke mara 3 ndo tutakuwa sawa maana yake kwenye kipimo cha speed utakuwa juu kuliko mimi mwenye gari kubwa... Ufahamu kuwa mimi nikiwa speed 110 ili unipite utatakiwa uwe zaidi ya 140 na gari yako
Siikubali hii concept yako.

Speed ya ndege ni almost 800KPH.

Nayo inapimwaje?

Ninachofahamu S.I unit ya mwendokasi ni Kph.
 
Back
Top Bottom