Scandal kwenye MAPENZI

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Mapenzi ni safar ndefu sana kuna misukosuko mingi sana humo na kila mmoja ana mengi ambayo amepitia au anapitia kwa sasa. Swali langu Je ni scandal gani ulishawai kukutana nayo katika mapenzi?? Je ilikuwa ni nzuri au mbaya . Na kama mbaya ilikuathirije??FUNGUKA.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nikitembeaga na kidenti kimoja kikiwa form 4, bhana wee, si zikawafikia wazee??

Na jinsi ninavyo act km mtumishi??

Afu katoto kenyewe hakasikiii....

Dah, mi na wanafunzi weka mbali kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…