Scammer na matapeli wanaotumia ict

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
wana jf. ni imani yangu kuwa wana jf wengi hawawezi kuingia au kunaswa na mitego ya matapeli au scammers wanatumia ICT kujaribu kuwarubuni.

Lakini ni wajibu wetu tuwafaamishe ndugu jamaa namarfiki na kundi la watu wengi wasioolewa kuwa kuna utapeli unaweza kuonekana kama si utapeli.

Wengine wanataumia email wengine wanatumia simu sms za kushinda lotto. Basi tusiishie kuambina sisi wana jf tujaribu kuwaambia watu wenginewanaweza kuwa vulnereable.

Leo kwenye email JF nimehaidiwa utajiri na huyu scammer wa ivory coast.

Cha ajabu nimempeleka mtu amabye sio mtumiaji sana wa kompyuta asome basi akafurahi kuwa nimepata dili. Duh nikajua kumbe akipata ujumbe kama huu anaweza kuingizwa mkenge . Imebidi nimppesomo somo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…