Shida ni pale watakaposema nataka nilipwe sh ngapi ningejua base line yao ingekuwa safi sanaKwani umeitwa peke yako?....wanalipa vizuri tu, wanarudisha na nauli utakazotumia uendapo kufanya interview.
Ila watakuuliza wewe unataka kulipwa ngapi?
Hiki in kipindi cha kutaja "1mil<×", utamtaja x kama ndio matarajio yako ya kulipwa. Ila bado sijajua base line yaoShida ni pale watakaposema nataka nilipwe sh ngapi ningejua base line yao ingekuwa safi sana
Hili ni swali muhimu lakn jaribu pia kuuliza sehemu nyingine huko kwa mtu mwenye elimu na experience kama yako wanalipwaje. Hapo sasa tengeneza range ya mshahara.Hiki in kipindi cha kutaja "1mil<×", utamtaja x kama ndio matarajio yako ya kulipwa. Ila bado sijajua base line yao
1.8 - 2.6mil...pia inategemeana mtu unashida kiasi gani, yaani uhitaji wako wa kazi. Je wakikuambia 882,000TZS kama gross salary je utakubali?Hili ni swali muhimu lakn jaribu pia kuuliza sehemu nyingine huko kwa mtu mwenye elimu na experience kama yako wanalipwaje. Hapo sasa tengeneza range ya mshahara.
Lakn pia hilo swali halina point kuubwa, ukifaulu mtanegotiate. CV yako (siyo makaratasi) nadhan ndo muhimu sana

Safi, hongera sana....Mungu akutangulie ktk mafanikioAhsanten Jf nilifanya interview jana nilipofika kwenye salary nikatoa range 1.2 - 1.8 mili wakaniambia wao wanaanza na 1.5
Duh asee hongeraAhsanten Jf nilifanya interview jana nilipofika kwenye salary nikatoa range 1.2 - 1.8 mili wakaniambia wao wanaanza na 1.5