SC Villa yapigwa 7-0 Morocco

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Posted by: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE Posted date: 4/09/2016 10:53:00 PM / comment : 0




SC Villa ya Uganda imefungwa mabao 7-0 na FUS Rabat ya Morocco katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Afrika ugenini leo.
Mabao ya Rabat yamefungwa na Mourad Batna, As Mandaw, Abdessalam Benjelloun, Mehdi Ei Bassel, Maroune Saadane, Youssef El Gnaoui na Mohamed Fouzair.
Kwa matokeo hayo, SC Villa inatakiwa kushinda 8-0 katika mchezo wa marudiano Uwanja wa Taifa wa Nelson Mandela, Namboole, Kampala wiki ijayo.
 
Salaale! Hawa sindiyo Yanga huwa wanajisifu kwamba waliwafunga kwao?Naona hatari ya yeboyebo kulala 5.misri.
 
Salaale! Hawa sindiyo Yanga huwa wanajisifu kwamba waliwafunga kwao?Naona hatari ya yeboyebo kulala 5.misri.
Lini Yanga waliwafunga Sc Villa kwao halafu wakajisifu!!!! Hivi kweli wewe ni mfuatiliaji wa mpira!!!!!
 
Unapanga matokeo kwa ndanda, stand united, prison n.k

Kapange matokeo al ahly sasa
 
Lini Yanga waliwafunga Sc Villa kwao halafu wakajisifu!!!! Hivi kweli wewe ni mfuatiliaji wa mpira!!!!!
Huyu atakua wa Dar mkuu kutwa nzima vijiweni mkuu, hawafuatilii habari za mpira msamehe bure:
1. Nadhani alijua ni Platnum ya Zimbabwe; na

2. Hajui kutofautisha Kombe la Shirikisho analocheza Azam FC na Kombe la Mabingwa wa Afrika analocheza Yanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom