Habari mkuu,
Naombeni msaada, jana hawa watu wamenitumia document yenye bei za magari yao. Ila nayaona kama yapo expensive kuliko Befoward.
mkuu usijaribu kuwapa namba zako za simu, watakusumbua hadi kero!!
Wale wadada Marry na team yake ya sales kwa Africa,hata sio wasumbufu bali wanafuatilia sana ahadi za wateja wao. Jins utakavyowaeleza nao ndivyo watafatilia ahadi yako. Nadhani kwa issue ya Masoko ni lazima iwe hivyo,huwezi acha shilingi ikapotea.
sbt kuna jamaa mmoja anaitwa mutahir...anapiga simu hata mara 1000 kwa siku..nawakubali be forward ni professional sana..
mkuu usijaribu kuwapa namba zako za simu, watakusumbua hadi kero!!
mkuu usijaribu kuwapa namba zako za simu, watakusumbua hadi kero!!
SBT bei za kuanzia ziko juu ila unaweza kuwashusha, na magari yao yako kwenye hali nzuri zaidi kulinganisha na Beforward
Mpaka nimewablock kwa namba zote tena wakati mwingine wanatumia na ya tigo
Kuna jamaa anaitwa Hassan, yaani akipiga usipopokea anaacha hadi Ujumbe. Jamaa kama bidii ya masoko anayo aisee.
Hahaha!
yan mtu unafananisha ubora wa mgari ya SBT na beforward! Nadhan SBT yuko vizuri kwenye bei as ukinegotiate unapate gar kwa bei chee lakin magari yao mostly ni vimeo!
uliza ma agent wa C@F watakwambia ubovu wa magar ya hawa jamaa. Beforward wana magari mazur ndio mana hawana negotiation na longo longo sana kwenye price kama SBT.