Sayari inakuja kutoka mbali; Nibiru, itaigonga dunia baadaye mwaka huu 2016

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,445
Warusi na Wachina wanawatangazia watu wao kwamba sayari Nibiru itaigonga dunia baadaye mwaka huu. No one is saying it will be the end of the world.

Hii sayari itapita karibu na dunia. It is five times the mass of the earth. Itakapopita karibu na dunia,the earth axis will shift. Floods zitatokea and other calamities.

Hii planet imeanza kuonekana toka 2012. .Hii planet inaonekana vizuri ukiwa antartica au watu wa South Africa wanaweza kutuambia wanaona nini.

Kwa vile planet inatokea kutokea mwelekeo huo, upande wa matako ya dunia,so to speak,ndio maana hatuioni.

Hii siyo prediction,kwa hiyo usimuulize Sheikh Yahya mdogo. Hizi ni astronomical calculations,kwamba hiyo planet itapita karibu na dunia baadaye mwaka huu.

Huko NASA,lipo katazo la kuizungumzia hii planet. Obama hataki Wamarekani wafahamu,lakini watu wengi wanaamini kwamba Putin ni mkweli zaidi.

Hizi habari nimeziona kwenye Ashtar Command website.
 
Mkuu hii Nibiru imekuwa Gumzo sana kwanini Nasa wanaficha Hii. inshu ni sawa hii planet x itapita nyuma ya dunia ni wazi itavuruga venus planet kwa ukubwa sana kama earth itaguswa kidogo basi tutegemee anguko kubwa kwa kila nyaja mana Satellite zitahama kama orbit ya earth itasogea baada ya kupata Thrust
 
Warusi na Wachina wanawatangazia watu wao kwamba sayari Nibiru itaigonga dunia baadaye mwaka huu. No one is saying it will be the end of the world. Hii sayari itapita karibu na dunia. It is five times the mass of the earth. Itakapopita karibu na dunia,the earth axis will shift. Floods zitatokea and other calamities. Hii planet imeanza kuonekana toka 2012. .Hii planet inaonekana vizuri ukiwa antartica au watu wa Souyh Africa wanaweza kutuambia wanaona nini. Kwa vile planet inatokea kutokea mwelekeo huo, upande wa matako ya dunia,so to speak,ndio maana hatuioni. Hii siyo prediction,kwa hiyo usimuulize Sheikh Yahya mdogo. Hizi ni astronomical calculations,kwamba hiyo planet itapita karibu na dunia baadaye mwaka huu. Huko NASA,lipo katazo la kuizungumzia hii planet. Obama hataki Wamarekani wafahamu,lakini watu wengi wanaamini kwamba Putin ni mkweli zaidi Hizi habari nimeziona kwenye Ashtar Command website.
tuelewe hii sayari ilikuwa ndani ya solar system but haikugundulika kwa vile njia yake ni ndefu sana na huchukua hata miaka 20000 kukamilisha mzunguko mmoja so hii planet ina rotate ktk orbit na inategemea gravity ya jua letu kuwa stable ktk angular motion yake ni ten times kwa mass ya dunia yetu ikipita karibu basi itasababisha gravitional pull yani itaivuta earth karibu katika huo mvutano earth ni ndogo ivo itahamishwa orbit na kuleta majanga kama Mafuriko sambamba na matetemeko ya ardhi
 
Ni suala la kusubiri na kuona! Kama itakuwa ndio nitoleee basi tena.. By the way NASA Wanasemaje kuhusu hili?
 
....IPO IPO TU./
YAELEKEA YAPO MASAYARI MENGI ISPOKUWA YAPO KWENYE MZUNGUKO.
WELCOME NIBIRU....WE ARE WAITING YOU....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom