Sayansi ya nyota

ShL

Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
56
Reaction score
124
Naombeni tujadili kidogo kuhusu hili Jambo.

Je nikweli kwamba ukiwa kwenye mwezi, nyota hauzioni? Kama nikweli, nikwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…