We unaonekana hujui kuhusu virusi kabisa. Hivi Mungu anaweza kuwa na majibu yanayoexpire kweli yani kipindi kile atusaidie leo atuache duu. Ukifuata sayansi utajua kwann sahiv tumepigwa kuliko mara ya kwanza achana na imani Mfu.Maambukizi ya awamu ya kwanza yaliondojaje vile,??
Wewe unajua hiyo hela imetolewa kwa ajili ya nini ? Maana madhara ya corona yana mambo mengiJifunze kutoka kwa aliyefanikiwa. Dunia siyo Africa pekee. Tungedhamiria tungeweza. Kwanza tulipewa msaada wa zaidi ya bilioni 100 ili kupambana na corona, tungeweza kuitumia hela hii kuwapima watu wetu. Bahati mbaya, tukaitapanya na kupeleka kungine.
Zaidi ni umskini wa kichwani kuliko fedha.
Kabisa. Hadi ukimsikiliza mganga mkuu wa serikali unatamani kulia. So foolish.Tz kuna ignorance wengi cha kuustaabisha hata professional wa matibabu wamekuwa foolish
Kwa wenzetu Wakristo dunia nzimà, Mungu ni wa Waisrael aliowateua yeye mwenyewe hata Mwanae Mpendwa alizaliwa huko, hao wengine ni miungu tu ikiwa ni pamoja na wa Waitalia, wa Wachina, wa Wasukuma nk. Mungu wa Watanzania anayewalinda wao tu hayupo Mbinguni wala duniani!Mungu siyo Lisu wala Amsterdam
Waisrael wamekufa 5526.
tangu mwaka Jana .
He Tanzania wanafika waliokufa na Corona hyo idadi?.
KWA MUNGU TUNATEGEMEA.na tutashinda.
Mganga MUNGU tu
Tz kuna ignorance wengi cha kuustaabisha hata professional wa matibabu wamekuwa foolish
Kama takwimu za wagonjwa wa Covd 19 Hamna... Hiyo takwimu ya vifo vya wagonjwa wa Covd 19 utapata wapi?
Acha ujinga
Pesa za COVID-19 kutoka Umoja wa Ulaya mlipeleka wapi ???Unajua ni gharama kiasi gani kufuata huo mlolongo wa sayansi na kuzinatia matokeo yake?
Tz hakuna madaktari wa tiba wala wanasayansi,tunao wafungia vidonda na wapima kinyesi ndiyo wanajiita madaktari.Laiti kama tungekuwa na wataalamu wa tiba kweli tungeshapatiwa maelekezo mengi ya kitaalamu bila uoga kutoka kwa wanasiasa.Tz kuna ignorance wengi cha kuustaabisha hata professional wa matibabu wamekuwa foolish
Ukishskuwa rais wa Tz andiko lako linafichwa.... ndio maana wapo waliokuwa wanahoji andiko (thesis) la kisayansi la huyu BWANA linapaticana wapi? Andiko la kutunukiwa PhD halijawahi andikwa bila utafiti wa kisayansi. Madai yale ya kuoneshwa andiko hata kama hayajawahi kutekelezwa yalikuwa na bado yana maana nzito sana.
Ilipungua dunia nzima lakini Tanzania pia ilichukuwa hatua kama kufunga shule na kampeni za mask na kunawa mikono lakini tulionywa itakuja second wave badala ya kujiandaa na second wave tukaanza kiburi, ingekuwa hawakujuwa kuwa wave ya kwanza itapungua wasingesema kuna second wave haiwezi kuja ya pili bila kuisha ya kwanza haya mambo yalitabiriwa na wataalamu sasa hata second wave tungewahi kuchukuwa tahadhari na sisemi lockdown tungefanya kama mwanzo tu ingepunguza kiasi.Mimi naungana na wewe,mwaka jana Magufuli kalaumiwa sana mara anaficha corona sijui watu wakufa kimya kimya mara sijui kaamua kuwatoa wananchi wake kafara ila mwishoni wote tukafanya nao kampeni bila tahadhari zozote na sasa wanasema corona ilipungua mwaka jana.