Say no for gay and lesbian in Tanzania

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,457
12,668
Najua mpo, mtakao chukizwa na huu waraka.

Kwanza kabisa, nikusalimu Mr. Tanzania one, mheshimiwa rais John Pombe Magufuri.

Nikili wazi kuwa tangia ulipoingia madarakani sikuwa mfuasi wako ata chembe ila siku zinavyokwenda asilimia za kukuamini zinaongezeka.

Waraka huu nauleta moja kwa moja kwako kama @mtanzania1(Tanzania one) na kiongozi wa nchi yetu pendwa Tanzania.

Ni siku za hivi karibuni kumeibuka masuala yanayoibua mijadala mingi hapa nchini, kwanza kabisa ilikuwa ni suala la MIMBA ZA WANAFUNZI nashukru bila kuteteleka ulisimama ukasema msichana atakayepata mimba afukuzwe shule binafsi nakusifu na kukushukru kwa kuonesha msimamo ambao unalinda maadili ya taifa letu na haki za watoto wadogo.

Nasema unalinda kwa maana nyingi najua wenye akili average hawatanielewa kwanza kama nchi tunazo sheria zinazo haramisha vitendo vya kushiriki kimapenzi na wanafunzi na sheria ya watoto hizi zote zinalinda na kuweka hifadhi bora kwa watoto.

Lakini kama kwamba sheria hizi zinaenda mbali zaidi na kutoa funzo na restrictions kwa wanafunzi wajue kabisa kujihusisha na mapenzi wakiwa shule basi wajue ndiyo mwisho wa masomo yao kwa mfumo rasmi wa elimu otherwise watafute namna watakavyosoma wenyewe huku wakikosa benefits za serikali.

Jambo lingine la msingi ni

USHONGA/GAYS&LESBIAN
Mheshimiwa rais nakuomba chonde chonde usipepese macho katika hili kwa kelele za mapepari hawatutakii wema hawa jamaa, nimeona MAREKANI na VIBARAKA wake kama. BENK YA DUNIA & SHIRIKA LA FEDHA wamaanza drama zao eti wanakemea na kuonya eti tutakosa misaada. Huu ni upuuzi tena upuuzi usiovumilika ata kwa chembe, hivi wanatupatia misaada ili tuwe mashoga???

Tena nasema kwa dhati umesema mara nyingi kutuomba tukuombee sisi watanzania mimi NASEMA UKIRUHUSU AU KUPEPESA MACHO KWENYE HILI HAKIKA MUNGU AKUBEBESHE HII LAANA YA DHAMBI HII WEWE NA KIZAZI CHAKO. Mimi ni mkiristo tena mkatiliki kabisa tunaagizwa kuzitii mamlaka za duniani na kuziheshimu ila mamlaka hizi huwekwa na Mungu sasa ukibariki kitendo hichi ukashindwa kukikemea hakika utalaaniwa aisei na dhambi hii itatafuna kizazi chako na taifa kwa ujumla.

Imekuwa kama kasumba kujichanganya na ulimwengu huku tukizoa kila aina ya uchafu na kuleta nchini mwetu NASEMA KWA UJASIRI KABISA NATAMANI MADARAKA YA URAIS SI TU KUFURAHIA CHEO BALI KULINDA NA KUONGOZA TAIFA HILI KWENYE MWELEKEO SAHIHI.

Uzazi wa mpango/FAMILY PLANING ni jambo la tatu ambalo umelielezea vyema kabisa, wazungu wanatamani kupungue kabisa na huu mkakati wanaufanya kwa njia za uzazi wa mpango, kupromote gays na ushetani mwingine.

Nikili kuwa sipendezwi na mikakati yako ya kiuchumi hasa katika matumizi ya kundi mhimu na pekee la uzalishaji nikimanisha VIJANA, hujafanya vizuri bado mheshimiwa rais. Katika hali ya kawaida vijana wa Tanzania hawana miongozo hasa ya kuwasaidia katika kuadopt sera za uchumi, tunaongelea viwanda ila sijaona mkakati wa makusudi wa kuongelea na kuhusianisha VIJANA na VIWANDA inaweza ikawa ni rahisi katika kufikiri lakini jambo hili ni gumu sana kiutendaji iwapo hakuna mikakati mahususi ya kushughulika nalo.

Nirudie kukupongeza kwa juhudi zako za kubomoa mitandao ya mafisadi nisipepese macho nikuombe uende mbali zaidi kuboa hii mitandao iliyomo kwenye vikonyo vya kiutawala. Wapo viongozi wakubwa wanahusika sana katika mitandao ya rushwa ba ufisadi mkubwa.

Nitashukru nikiona umetoa mwelekeo wa taifa letu.
 
Katika hili namuunga mkono Makonda na kama kuna sheria ya kuwalinda hawa watu basi iishie CHUMBE
 
Hii mijadala yenu inapromote sana ushoga. Bora mbaki kimya turudi kama zamani.
 
Zamani tulipinga na ndiyo maana kuna sheria na adhabu ya kifungo mpaka miaka 30.
 
Kwani sheria imebadilika? Hivyo mnavyolalamika inafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini waanze kuufatilia. Kila kina ushoga ushoga.
Ila mnapiga kelele za bure hata wakifungwa jela hamtaweza kutokomeza ushoga.
Zamani tulipinga na ndiyo maana kuna sheria na adhabu ya kifungo mpaka miaka 30.
 
Unapinga ushoga halafu hela zao unazikubali,kataa bas na hela zao
Pesa zao zipi, kwani hawachukui madini yetu?? Wapuuzi kama hawataki wabaki nazo huko hatutaki laana nchini mwetu.
 
Sasa unapowashabikia wauaji wanaochukia ushoga unadhani Mungu anakusikia?
Kuna sheria inasema tuue?? Mtu akiua ata kama rais anashitakiwa usichanganye mambo na uchadema wako..!

Kwa ushauri wa bure tembea na hiyo agenda ya ushoga muone kama haitawazika 2020. Wamnasupport ushoga.
 
Nadhani neno Big lina maana tofauti kwako vinginevyo kwa akili ndogo kiasi hiki usingeliunganisha na neno Mind kutengeneza ID yako. You are too low to use that ID.
 
Back
Top Bottom