nawe umeanzisha sred?
Haya, ngoja wapiga mizinga na waomba K siku ya kwanza waje.
ah nilipigwa mzinga na dada mmoja on our first meeting nikamuomba K akasema eti nimemkosea adabu
Aisee!!!!!he he he he, labda hakuwa na nauli.
Mie siku ya kwanza kabisa ya kideti duniani, nilihongwa buku, ila sikuomba na nikakataa kataa wee lakini akanilzimisha.
Na ilikuwa kwa ajili ya nauli ya boda boda ya baskeli.
Those days bana!
Niliona kama kanipa mirioni.
Aisee!!!!!
nawe umeanzisha sred?
Haya, ngoja wapiga mizinga na waomba K siku ya kwanza waje.
Mimi ni daktari wa binadamu, nilikuwa sijui ndugu yangu pancrease....... Aisee!!!!! kiswahili kinakua kwa kasi sanayaani Dr. Unashangaa mirioni??
Ni dokta wa shahada ya uzamivu au wa kuchoma sindano.
Kama hujui mirioni>>milioni
mfano: 0.2mirioni=38milioni
he he he he, labda hakuwa na nauli.
Mie siku ya kwanza kabisa ya kideti duniani, nilihongwa buku, ila sikuomba na nikakataa kataa wee lakini akanilzimisha.
Na ilikuwa kwa ajili ya nauli ya boda boda ya baskeli.
BORA HIYO MIE ALIOMBA BUKU KUMI YA BAJAJ...LOH NIKAONA ISIWE TABU HAPO HAPO NAMI NIKAMUOMBA K...MBONA GHAFLA MTU KABADIRIKA
jamani wanwake ni kweli kuwa mizinga ni sehemu ya mapenzi kwa mwendo wa sasa lakini ebu ngojeni kwanza sio mizinga siku ya kwanza tuu....unapo mpiga mzinga mwanaume siku ya kwanza ni sawa na mwanaume anapo muomba demu K siku ya kwanza. so kama waja na mzinga siku ya kwanza basi nawe uwe tayari kutoa K
Mimi ni daktari wa binadamu, nilikuwa sijui ndugu yangu pancrease....... Aisee!!!!! kiswahili kinakua kwa kasi sana