Wakuu bidhaa tajwa hapo juu (Savin 7025 copy machine) Inahitajika at affordable reliable and fairly price with high/normal quality, Nipo Mwanza Tanzania,
Kwa aliyenayo, au anayejua zinakopatikana hapa mwanza at affordable price, please aniPM tufanye biashara,
ITS URGENTLY!