Misako
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 1,143
- 1,404
Wachungaji na mashehe wanakazi Sana.Wengi wao ni vinuka mokojo tu wanaopelekeshwa na njaa na wengine tamaa za mambo mazuri kabla ya muda wake. Baadae wanaanza kusumbua Masheikhe na Wachungaji wawaombee ili waolewe.