Savei Pharmacy, Jirekebisheni

Duuh..hao wateja wawakimbie tu..Jaman twendeni Platinum pharmacy pale mikocheni opp shoppers plaza..wale wahudumu ni gud customer carers hadi raha!!
 
Duuh..hao wateja wawakimbie tu..Jaman twendeni Platinum pharmacy pale mikocheni opp shoppers plaza..wale wahudumu ni gud customer carers hadi raha!!

Na huko pia hatuji...

Acha upambe nuksi...
 
Ufamasia ni weledi, ushauri ni kwamba tafuteni jina la mfamasia wa hapo, utalipata kwenye cheti kilichopo hapo halafu mripoti baraza la wafamasia

upuuzi huu haukubaliki
 
hahha bora wachukue wahudumu wa bulls park waje kuhudumia na hapo!!!!
 
Ufamasia ni weledi, ushauri ni kwamba tafuteni jina la mfamasia wa hapo, utalipata kwenye cheti kilichopo hapo halafu mripoti baraza la wafamasia

upuuzi huu haukubaliki

Tatizo fani sio zao wanaingilia...kasoma kuchoma sindano one year nursing basiii
 
Kuda duka lipo opposite na nyumba nayoishi, mwenye duka ni mmama mkorofi sana, anauza bidhaa zime expire na ukiuliza anatoa maneno makali sana na anasema kama hutaki acha, nimeacha kabisa kwenda kwenye hilo duka.
 
Ha ha ha! Hako kadada kanakofanana na baba yake kako very rude! Kalitakiwa kuwa askari magereza tena wa kuwahudumia wale majambazi sugu! Sijawahi kumuona akitabasamu hata cku moja...
 
Wadau mwenye duka ujumbe ulimfikia na jana nimepita hapo nikaona amebandika tangazo lenye namba ya simu kua kama hujaridhika na huduma umpigie simu.
 
Du kwani akina baba ndo wana sura ngumu hivyo? unaweza ukute baba matu hana sura ya ukakasi kiasi hicho! Je huyo akizaa mtoto anaefanana na yeye utasema sura ya nani?
 
hivi hiki ki pharmacy bado kipo...kulikuwa na mwana-mama mmoja alikataa kuniuzia condom eti kwa vile sikumuamkia!!
hahaaaaaa alikuwa anania mbaya na wewe huyu sio bure
 
hivi hiki ki pharmacy bado kipo...kulikuwa na mwana-mama mmoja alikataa kuniuzia condom eti kwa vile sikumuamkia!!
Heeeeeheee sialijua uitumii mwisho wasiku unatokanayo vChumban kama ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…