Tuvumilie miaka mingine mi-nne., ikiisha zitafanywa sarakasi itaongezwa mingine mitano.
Mungu atuepushe na sarakasi za kichina baada ya hapo.
Dunia hii yametawala majabari kama Farao, Cesar, Castro, hitler, musolini, Mao n.k.., wako wapi? Wote wameishia mavumbini., itakuwa sie ambao hata mishahara tunakopa?
Tuvumilieni.
"Yana Mwisho"-Kuli.