Save economy from sinking, govt urged

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
Sunday, February 12, 2017
Save economy from sinking, govt urged


economy+sinking_1.jpg


The government should seriously consider going back to the drawing board and come up with something that can rescue the faltering economy, experts have said.

Economists who spoke to The Citizen this week warned that the situation could get out of hand if the government continued to dilly-dally on the need to review its budget implementation.

They also said there was an urgent need to think hard on how to improve the country’s general economic performance.

“We should critically look at what is wrong so as to come up with a remedy that will enable us forge ahead properly,” said Prof Honest Ngowi, an economics and business consultant at the Mzumbe University’s Dar es Salaam Business School.

In an interview with The Citizen, Prof Ngowi said monthly and quarterly budget evaluations were now crucial if the government was to have a clear picture of its economic journey. “Assessments are crucial, especially when some data indicate that things are not going in accordance with original plans.”

Prof Ngowi said the government should be worried that it has missed its revenue targets for six months now.

He noted: “If the problem is us, we should find where we went astray… and if it is the donors, let us check what didn’t work in our earlier plans.”

In Parliament, lawmakers recently raised the alarm bells, urging the government to re-think its economic plan before things got worse.

“I strongly advise the government to review its plans. It is not a sin to go back to the drawing board, especially now that reports by the Parliamentary Committee, the minister himself and Bank of Tanzania separately indicate that things are not going according to plan,” said MP Hussein Bashe (Nzega Urban – CCM).

The lawmaker said while the (Finance and Planning) minister is upbeat that the country has managed to save millions of US dollars due to declining imports, the government’s industrialisation plan has taken a major beating.

In its Monthly Economic Review (MER) for December last year, the BoT reported that the import value of goods and services for the year ending November, 2016 declined by 15.8 per cent to $10,257 million from the corresponding period in 2015.

“All major categories of imports declined, except for oil and industrial raw materials,” the report says.

The importation of transport equipment dropped by 32.8 per cent, building and construction by 29.5 per cent, machinery by 36 per cent, fertiliser by 24.5 per cent, and consumer goods by 23.9 per cent.

“This (drop) should disturb us because it points to the fact that there was no investment in building new industries as the government has been advocating,” said Mr Bashe.

The MP said the government should also not take pride in having stepped up revenue collection through increasing the tax burden on the people.

“It all depends on what this money is used for. If we collect it, it means we have removed money from the hands of the common people. If we don’t return it, we are creating chaos in the economy,” he warning.

On the national debt, the MP said the government should stop basing it on the Gross Domestic Product, but base it on real collections.

“The US has decided to raise interest rate on the dollar from 0.25 to 0.5, and it is expected that by December it will reach 0.7 per cent. This means that our debts are accumulating,” he said. “Let us accept that this year’s budget is not realistic. We need realistic budget and priorities which we can attain in short period.”

But speaking in Parliament last week, Finance and Planning minister Philip Mpango allayed the fears, saying the economy was on the right track. The minister told MPs the government was on top of the situation, and urged them to have a clear picture when conceptualising the Tanzanian economy. However, he noted that there are several challenges in some sectors of the economy.

Dr Mpango noted that on average, the individual income of Tanzanians had increased from $350 to $980, annually though there are some years when the average tumbled due to volatility in exchange rates.

Mr David Kafulila, a former MP, told The Citizen that there was still reason for the government to be worrisome. He also cited the total decline of $1,620.9 million in imports as a cause for concern.

“For instance, the total decline for the two components of importations is higher compared to the grand total decline in importations,” he said.

“This tells us why there was a sharp decline in the current account deficit, from $4, 494.6 million to $1,950.2 million. This decline could be favourable to the economy if the factors for it were to be higher growth in exportations.” Mr Kafulila said “unreliable credit facilities” and effects of the fiscal policy had a negative impact on the performance of the private sector.

“With the contraction of the private sector production, especially in manufacturing, goes down, and this means a reduction in the importation of capital goods and machines for production.” In its annual report tabled this week in Parliament, the Industries, Trade and Environment Committee also noted that the government’s industrialisation dream would not be realised in the prevailing economic situation.

The committee noted that as of last month, the ministry of Industries, Trade and Investment had received only Sh7.6 billion of its development budget, a paltry 18.6 per cent of the target. Dr Dalaly Kafumu, the committee chairman, said the industrial drive initiative was rhetoric.

Source: The Citizen
 
Haha Mkuu BAK nakupongeza sana kuleta hivi vitu ambavyo watu wamevigeuzia kisogo...

Sizonje roho inamuuma sana uchumi umekazaa.... Ana chuki na jazba isiyomithilika!! Anafikiri kuchukia matajiri kutamwinua!!

Ili kupoteza upepo huu katujia na movie ya Unga ili wafu wa bongo wazimike na habari zake.....

Lkn njaa kitu kingine bhn very soon kilio kitaanza upya!!
 
Yupo yupo tu na matamko yake yaliyojaa vitisho, dharau, ukatili na unafiki wa hali ya juu huku uchumi wa nchi ukizidi kudhoofika.

Kuna washamba wanasema jamaa ananyoosha nchi. Hadi leo?

Atuoneshe aliponyoosha na amefikia wapi kuliko baki tumsaidie.

Tatizo la kuwa na kiongozi aliepatikana kwa ajali.

Hajui hata nini kinatakiwa kufanyika.
 
Shukrani Mkuu Tanzania ni yetu sote huyu jamaa hana hati miliki, ni lazima tuseme athari mbali mbali za huyu jamaa kuwepo madarakani pamoja na hawa wahuni kutaka tuonekane eti ni wachochezi.

Haha Mkuu BAK nakupongeza sana kuleta hivi vitu ambavyo watu wamevigeuzia kisogo...

Sizonje roho inamuuma sana uchumi umekazaa.... Ana chuki na jazba isiyomithilika!! Anafikiri kuchukia matajiri kutamwinua!!

Ili kupoteza upepo huu katujia na movie ya Unga ili wafu wa bongo wazimike na habari zake.....

Lkn njaa kitu kingine bhn very soon kilio kitaanza upya!!
 
Itabidi waliomteua kwenye nafasi hiyo watengue wenyewe uteuzi.

Waendelee kukimbizana na Wapinzani nacho ni viwanda vinajengewa Mahamani.Tumeacha kusikiliza kesi za ufisadi na Rushwa tupo busy na Lema na Lissu.
 
Itabidi waliomteua kwenye nafasi hiyo watengue wenyewe uteuzi.

Waendelee kukimbizana na Wapinzani nacho ni viwanda vinajengewa Mahamani.Tumeacha kusikiliza kesi za ufisadi na Rushwa tupo busy na Lema na Lissu.
Udikteta huasisiwa; hauji kwa siku moja.
Utawala wa sheria huwekwa kando kisha vyombo vya mabavu hupewa meno.
Kwa bahati mbaya asili mia kubwa ya wananchi wetu hawana macho. Ni mashabiki wanaosukumwa na njaa. Turejeeni historia ya Ujerumani. Yule mtu wao alijizolea sifa na umaarufu kwa walalahoi baadaye akawafanya kitu mbaya.
Even a blind person can "feel" how the economy is being mismanaged. Wasaidizi wake wa masuala ya uchumi na fedha watakuja kuwajibika kwa kufanya kazi ya "Utarik Azizi" (propogandist wa Saddam Hussein wakati wa vita na majeshi ya mwuungano).
Wakati Uchumi wa nchi unapormoka, wanadai unakuwa. Kama mazuzu vile tuitikia mapambio ya nchi ya viwanda, tumenunua ndege, tunahamisha makao makuu, wapiga dili, nchi inanyooshwa, nk. Wanyonge nchini wana shida ya chakula, serikali inadai hakuna njaa! This is disasterous. Time will tell.

Hitler alikuwa na washirika wake katika kuasisi udikteta nchini mwao. Wamejitokeza baadhi watendaji wanaoiga mteuzi wao: ma- DED, ma-RC, na hata mawaziri; Kig......; wote ubabe.
When someone does not know where he is going, he will end somewhere else. Hatuna mwelekeo. Hatuulizi njia; tutapotea tu. Wakubwa wanabuni matukio to remain in the picture: kujenga chuki na wapinzani, vita isiyoisha ya mambo hewa (kisingizio cha kushindwa kupeleka pesa za miradi kwenye halmashauri), nk. Lugha ya vitisho ndiyo imetangulizwa mbele. Baadaye itakuja tumbua tumbua ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Tuvumilie miaka mingine mi-nne., ikiisha zitafanywa sarakasi itaongezwa mingine mitano.

Mungu atuepushe na sarakasi za kichina baada ya hapo.

Dunia hii yametawala majabari kama Farao, Cesar, Castro, hitler, musolini, Mao n.k.., wako wapi? Wote wameishia mavumbini., itakuwa sie ambao hata mishahara tunakopa?

Tuvumilieni.

"Yana Mwisho"-Kuli.
 
Huwezi ukabomoa nyumba uliyoikuta wakati huna maarifa wala uwezo wa kujenga mpya. Kuikarabati ndiyo ingekuwa hatua sahihi.
Awamu ya nne ilikuwa na mapungufu yake. Hayo ndiyo yangeboreshwa. Utawala wa mambo ya nchi unajengwa mithili ya kishuguu; kidogo kidogo. Mchwa ni mafundi. Je, rushwa na ufisadi vimeisha? Ni vita isiyoisha. Siku moja pale UDSM Mkwere alitupa jiwe gizani akilenga uendeshaji wa mambo ktk serikali ya awamu ya tano. Waliosikia kishindo walikuwa wachache.
 
Kuna watu kadhaa nimeshawasikia wakisema jamaa wimbi...kwa anavyoongea (kujichanganyana kwingi; kusahau aliyoyaongea awali n.k.) nazidi kuamini.,
Hapa naweza kukuelewa coz nilimsikia akimkanusha Waziri mkuu jana kuwa watz walofungwa huko nje si 500 bali ni zaidi ya elfu... Alipoanza kutaja idadi pekee iliyokua kubwa ni 200 kwdngine mmoja... Kumi.... Thelasini na mafunga hayakufika tisa akasema hayo tu nolotaja ni zaidi ya elfu ndo nikarejea kwenye yale matakwimu tunayopewaga... Jamaa mwongo sana na zile takwimu zao huwa tunapigwa chenga ya kichwa!!
 
Mother time will tell. Fact that he is no intelectual is indeed worrying. He wont have capacity to analyse a complex world. And inferiority compelx will prevent advisers stepping in.

Tuendelee na maombi
Haha bwana kimweri hadi ninyi leo mwasema haya? Hahahah namshukuru Mungu tangu anachaguliwa huyu mtu sikuwahi mwunga mkono kwa jinsi alivyo... Nikikumbuka sakata la uuzaji nyumba za serikali na sadaka za mamake kule chato huyu jamaa ni zaidi ya fisadi alojificha kwenye ukondoo!!
 
Back
Top Bottom