Wadau Siku Nyingi Sana Zimepita Tokeo Niwepo Dares salaam. Nakumbuka Kuna Kiwanja Kilikuwepo Maeneo yaTabata Maarufu Kwa Live Band ya Ukweli Kilichoenda Kwa Jina la Savanna Club.Siku za Weekend Ilikuwa ni Balaa Yaani Parking Ya Magari Inabidi Ufanye Booking Mapema. Muziki, Nyamachoma na Huduma Zote Zilikuwa Za Uhakika Sana.
Mliopo Dar Mnijuze Vipi Kiwanja Hicho Bado Kipo?
Karibuni