mavado JF-Expert Member Joined Jun 25, 2014 Posts 1,153 Reaction score 801 Feb 10, 2018 #1 Da hawa jamaa nimependa sana hii song yao inaitwa Melanin, humo kuna ma black beauty hatari, by the way kwanini tz wasanii wetu wanapenda kuweka wanawake weupe kwa video zao. Tofauti na nchi zingine!??
Da hawa jamaa nimependa sana hii song yao inaitwa Melanin, humo kuna ma black beauty hatari, by the way kwanini tz wasanii wetu wanapenda kuweka wanawake weupe kwa video zao. Tofauti na nchi zingine!??
Dim Ray JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 320 Reaction score 249 Jan 29, 2020 #2 Ni mahitaji yao tu, some people have their minds fused to white colour slaverly