Sauti Kubwa: Ndugai akuza deni la matibabu nje ya nchi adaiwa kulamba milioni 500 ndani ya miezi mitano

Status
Not open for further replies.
Acha upimbi wewe

Kwani matibabu ya UKiMWI na KISUKARI yanahitaji rufaa kutoka Muhimbili??. Mbona tunaweza kutibu. Cha ajabu spika kapelekwa India na vidole vya miguu wamekata. Swali jee Tanzaniabhatuwezi kukata vidole hadi apelekwe nje?
Ingawa si vizuri kutaja ugonjwa wa mtu bila ridhaaila imenibidi niseme tu.
 
Madikteta wote Duniani wanapotekeleza udikteta wao hukimbilia kwenye sheria, kanuni na taratibu ambazo zote huwa wameziweka wao kulinda udikteta wao.

Tena wapinzani wasithubutu kuguata huo utaratibu, watakufa wakati usio wao. Lisu angefuata huo utaratibu, hakuna asiyejua kuwa tusingekuwa naye.
 

..ufanye yote hayo wakati umedunguliwa marisasi kibao mwilini?

..TL hakutoroshwa kwenda Kenya.

..Wako Madaktari wa serekali waliomsindikiza na kumkabidhi hospitali Nairobi.

..Pia muidhinishaji wa rufaa za kwenda nje kwa matibabu ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya.

..Katibu Mkuu wizara ya Afya ndiye aliyeongoza timu ya Madaktari waliom-stabilize TL mpaka ikawezekana kusafirishwa kwenda Nairobi.

..Kwa hiyo kulikuwa hakuna haja ya kumpeleka TL Muhimbili. Kilichotakiwa kufanyika ni Katibu Mkuu wizara ya Afya kuidhinisha rufaa ya TL kutibiwa Nairobi.

..Kuna dalili kwamba matibabu ya TL yamekwamishwa kwa "amri kutoka juu."
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…