Sauti Kubwa: Ndugai akuza deni la matibabu nje ya nchi adaiwa kulamba milioni 500 ndani ya miezi mitano

Status
Not open for further replies.
Kwenda kutibiwa nje zipo taratibu zinatakiwa kufuatwa, huwezi kurupuka ukaenda nje ya nchi ww mwenyewe halafu utegemee serikali ilipie. Moja ya kigezo cha kugharamiwa ni lazima uende kutibiwa nje kwa rufaa ya hospitali ya Taifa ya muhimbili. Wabunge wote hao wamefuata utaratibu huo? Ifahamike kuwa sheria haisomwi peke yake bila kanuni na miongozo.

Binafsi siungi mkono ubaguzi au ukandamizaji wa kundi lolote lile. Haki za kila mbunge na kila mtanzania na kila mtumishi lazima zizingatiwe na sheria kanuni na miongozo lazima ifuatwe.
Acha upimbi wewe

Kwani matibabu ya UKiMWI na KISUKARI yanahitaji rufaa kutoka Muhimbili??. Mbona tunaweza kutibu. Cha ajabu spika kapelekwa India na vidole vya miguu wamekata. Swali jee Tanzaniabhatuwezi kukata vidole hadi apelekwe nje?
Ingawa si vizuri kutaja ugonjwa wa mtu bila ridhaaila imenibidi niseme tu.
 
Niko vizuri unapewa bima ya afya zinatumiwa govt hospital ya mkoa ukizidiwa unapewa reffrerall muhimbili wakiona kesi hawaiwezi chap chap wanakuandikia reffrerall nje ya nchi iwe ubelgiji,india au kokote.Kila mbunge ana kadi ya bima aya afya .Sasa kama una bima ya afya halafu hutaki kutibiwa hospital zilizomo bima ya afya za ndani ya nje au nje kinyume Na fomu ya bima Na utaratibu wa bungeni ulioelekezwa utajijua
Madikteta wote Duniani wanapotekeleza udikteta wao hukimbilia kwenye sheria, kanuni na taratibu ambazo zote huwa wameziweka wao kulinda udikteta wao.

Tena wapinzani wasithubutu kuguata huo utaratibu, watakufa wakati usio wao. Lisu angefuata huo utaratibu, hakuna asiyejua kuwa tusingekuwa naye.
 
Hudhuria haraka hospitali ya kitaifa ka vile Muhumbili, KCMC, Dodoma Hosp. Pata reference ya Daktari. Wahisha kwa katibu wa bunge, peleka state hse ndio akuidhinishie. Sasa kama badala ya kutafuta hayo wewe unaenda kutafuta Private plane ya kukutoroshea nje ya nchi. Wataka nini??

..ufanye yote hayo wakati umedunguliwa marisasi kibao mwilini?

..TL hakutoroshwa kwenda Kenya.

..Wako Madaktari wa serekali waliomsindikiza na kumkabidhi hospitali Nairobi.

..Pia muidhinishaji wa rufaa za kwenda nje kwa matibabu ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya.

..Katibu Mkuu wizara ya Afya ndiye aliyeongoza timu ya Madaktari waliom-stabilize TL mpaka ikawezekana kusafirishwa kwenda Nairobi.

..Kwa hiyo kulikuwa hakuna haja ya kumpeleka TL Muhimbili. Kilichotakiwa kufanyika ni Katibu Mkuu wizara ya Afya kuidhinisha rufaa ya TL kutibiwa Nairobi.

..Kuna dalili kwamba matibabu ya TL yamekwamishwa kwa "amri kutoka juu."
 
Status
Not open for further replies.
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom