HAKIKA WACHANGIAJI HAPAJF MNATUBOA WAPENDA MIJADALA YA KITAIFA NA SIO KICHAMA.
INAKUWAJE KILA THREAD MNASHAMBULIA CCM TU? HIVI JF IMEKUWA SIO YA KIJAMII TENA? NI YA MPAMBANO KATI YA CHADEMA NA CCM MEMBERS TENA WALE WASIO WAADILIFU? MN hT nMN y UCHngiJI WAO UNATIA SHAKA KAMA KWELI NI WANAZUONI!
TOO MUCH HEBU ACHENI KUPOTEZA MAANA HALISI YA JF. KILA THREAD KWA ASILIMIA ZAIDI YA 90 INALENGA KUTUKANA CCM MBONA HATUONI HIVYO KWA OPPOSIT?
KWANJIA HII HATA IMANI YA KWENDA UKULU MNAKOKUSEMEA INAPOTEA MNAWATUMIA WATU WA VIJIWENI SANA NA NDIO WANAOWAHARIBIA CHADEMA WANADHANI SIASA NI MATUSI NA KUBEZANA KATIKA KILA JAMBO.
TOO MUCH IMEBIDI NIFUNGUKE KULALAMIKIA HALI HII.:shut-mouth:
Chadema mbona hawaeleweki si wanasema ile video ni feki.
Mkuu hatupaswi kukaa kando na kukodoa mimacho tu....Tuende hatua kadhaa mbele kwa lengo la kulinusuru Taifa letu.Muda wa kukaa pembeni na kuwategemea viongozi wa vyama kuendesha mapambano ya kutafuta ukombozi wa taifa letu, unapaswa kukoma sasa, kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na taifa hili, ambaye angependa awaachie watoto na wajukuu wake Taifa lenye neema na ustaarabu, taifa lenye kujali maslahi ya watu wake,lenye kusimamia vema rasilimali zilizopo kwa manuafaa ya wote anapaswa kusimama na kushiriki vema kwenye mapambano ya kudai uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni weusi CCM.Tunapaswa kujitoa kwa manufaa ya vizazi vijavyo......WAKATI WA UKOMBOZI NI SASA SHIRIKI KIKAMILIFU!Watanzania yetu macho wito wangu kwa rais Kikwete hivi kweli umeacha chama alichoasisi Baba wa Taifa sorry mzee nyerere kikimalizwa na akina Mwigulu Nchema shauri utakabidhi nchi kwa CHADEMA.
Hatimaye kada wa CCM aliyetimkia huko baada ya kuwa CHADEMA Makao Makuu, Saumu Malungu ameomba ulinzi CCM. Hii inafuatia kutajwa kwake na Mkurugenzi wa Sheria wa CHADEMA,Wakili Msomi Tundu Lissu kuwa ndiye anayeratibu mipango ya kupika ushahidi na kuandaa ushahidi dhidi ya Winfred Lwakatare.
Ni leo tu ambapo Saumu aliripotiwa na gazeti la Tanzania Daima kuwa alinaswa akiwasiliana na kiongozi mwandamizi wa CCM ambaye ni mratibu wa mpango wa Lwakatare kichama. Saumu anatumiwa kwakuwa alikuwa Idara ya Usalama ya CHADEMA na kwakuwa anajua kila linaloendelea CHADEMA Makao Makuu.
Mnamo majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni hii, Saumu alifika hapa Ofisi Ndogo za CCM Lumumba ili kuwasilisha ombi lake la kuomba ulinzi na haraka akakabidhiwa kwetu kama Kitengo cha Ulinzi cha CCM. Niko hatarini. Inadaiwa kuwa nimeshtukiwa. Kuna wenzangu wamenisaliti ndani ya CHADEMA. Wamevujisha siri za mipango yetu alisema Saumu akionekana kuwa na shaka kuu.
Nilindwe. Mwigulu Nchemba kwasasa hanipi msaada wa kutosha. Nilianzia UVCCM pale ambapo wamenielekeza nije hapa. Tafadhali nilindwe ilinimalizie kazi yangu aliongeza Saumu Mulungu.
Baadhi ya vigogo hapa Lumumba wameonesha hofu kuu katika kuharibiu taswira ya chama juu ya suala hili. Wameapa kuwatenga wote wanaohusika na mpango huu haramu,kama kweli upo. Kuna sintofahamu kubwa hapa Lumumba.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
CHADEMA imeshikwa pabaya mwaka huu. M4C imedoda haisikikii!
HAKIKA WACHANGIAJI HAPAJF MNATUBOA WAPENDA MIJADALA YA KITAIFA NA SIO KICHAMA.
INAKUWAJE KILA THREAD MNASHAMBULIA CCM TU? HIVI JF IMEKUWA SIO YA KIJAMII TENA? NI YA MPAMBANO KATI YA CHADEMA NA CCM MEMBERS TENA WALE WASIO WAADILIFU? MN hT nMN y UCHngiJI WAO UNATIA SHAKA KAMA KWELI NI WANAZUONI!
TOO MUCH HEBU ACHENI KUPOTEZA MAANA HALISI YA JF. KILA THREAD KWA ASILIMIA ZAIDI YA 90 INALENGA KUTUKANA CCM MBONA HATUONI HIVYO KWA OPPOSIT?
KWANJIA HII HATA IMANI YA KWENDA UKULU MNAKOKUSEMEA INAPOTEA MNAWATUMIA WATU WA VIJIWENI SANA NA NDIO WANAOWAHARIBIA CHADEMA WANADHANI SIASA NI MATUSI NA KUBEZANA KATIKA KILA JAMBO.
TOO MUCH IMEBIDI NIFUNGUKE KULALAMIKIA HALI HII.:shut-mouth:
Porojo na pechepeche zinaharibu kabisa hadhi ya jukwaa hili.
kaka kanundu afadhali umenikumbusha nilikuwa simkumbuki huyu Saumu sasa kwa maelezo yako nimemkumbuka.Huyo anatafuta DUME hana lolote huyo. Yeye na aende kwa Nchemba. Nadhani atakuwa amefika mahali anapo pataka. Vinginevyo analazimisha ujiko ambao hata mashiko hana ya kuupata.
Si ndiye alisema eti alitakwa ki mapenzi alipo kuwa CHADEMA? Sasa huko ndiyo amewakuta waasisi ambao hata kule Dodoma taarifa zina sema wameamua kuagiza Rwanda kwa sababu supply ya TZ haitoshi.
HAKIKA WACHANGIAJI HAPAJF MNATUBOA WAPENDA MIJADALA YA KITAIFA NA SIO KICHAMA.
INAKUWAJE KILA THREAD MNASHAMBULIA CCM TU? HIVI JF IMEKUWA SIO YA KIJAMII TENA? NI YA MPAMBANO KATI YA CHADEMA NA CCM MEMBERS TENA WALE WASIO WAADILIFU? MN hT nMN y UCHngiJI WAO UNATIA SHAKA KAMA KWELI NI WANAZUONI!
TOO MUCH HEBU ACHENI KUPOTEZA MAANA HALISI YA JF. KILA THREAD KWA ASILIMIA ZAIDI YA 90 INALENGA KUTUKANA CCM MBONA HATUONI HIVYO KWA OPPOSIT?
KWANJIA HII HATA IMANI YA KWENDA UKULU MNAKOKUSEMEA INAPOTEA MNAWATUMIA WATU WA VIJIWENI SANA NA NDIO WANAOWAHARIBIA CHADEMA WANADHANI SIASA NI MATUSI NA KUBEZANA KATIKA KILA JAMBO.
TOO MUCH IMEBIDI NIFUNGUKE KULALAMIKIA HALI HII.:shut-mouth:
anasikika bocho
Mbona haya majina majina ya mulumbu, mulungu na mulugo yameshika hatamu humu jamvini? Tunaanza kuyachoka sasa
Hivi nguvu ya umma bado iPo? Au ile mitumba ya m4 c ndiyo nguvu ya umma !