Hawa kina mama wa Saudi Arabia nimewapenda kwa hili walau, basi wakifanikiwa pia wachachamae kuruhusiwa kuacha nywele na sura zao tuzione
Libya eti Ghadafy katawala muda mrefu.Huku Saudia wanataka kutumia gari kuleta machafuko.Wanawake vibwengo wanaotumika hata Afrika na Tanzania wapo.Ukifuatilia historia zao huwa ni wasomi wa kimarekani na wahuni.
Hii si mara ya mwanzo gari za wanawake kutumika kwa malengo hayo na kote nyuma yameshindwa.Safari hii pia itakuwa hivyo.Waislamu sasa wameamka.
Hebu fafanua hapo kwenye nyekundu Mkuu. Hivi Wanawake kuomba haki ya kuruhusiwa kuendesha gari ni uhuni au ukibwengo? Kuna kipengele chochote katika dini ya Kiislamu kinachokataza Wanawake kuendesha gari? Kama kipo kiweke hapa Mkuu. Kuna Wanawakewengine ambao bado hawajaolewa na hawawezi kuendesha magari yao mpaka wawe na dreva na wengine hawana uwezo wa kuajiri dreva na hawana ndugu, jamaa wa kiume kuweza kuwaendesha. Mimi naona ni haki yao Wanawake hao kudai waruhusiwe kuendesha bila pingamizi lolote lile.
Nchi chungu nzima za ME ambazo asilimia kubwa ni waislamu wanawake wanaruhusiwa kuendesha magari sioni kwanini isiwe hivyo kule Saudi Arabia.
Kwa kweli vipengele vipo.Na huyu mwanamke anayetumika kuleta fujo katika nchi ya kiislamu ni kwamba anataka kuvikiuka hivyo vipengele na anapotosha hili suala.Hebu fafanua hapo kwenye nyekundu Mkuu. Hivi Wanawake kuomba haki ya kuruhusiwa kuendesha gari ni uhuni au ukibwengo? Kuna kipengele chochote katika dini ya Kiislamu kinachokataza Wanawake kuendesha gari? Kama kipo kiweke hapa Mkuu. Kuna Wanawakewengine ambao bado hawajaolewa na hawawezi kuendesha magari yao mpaka wawe na dreva na wengine hawana uwezo wa kuajiri dreva na hawana ndugu, jamaa wa kiume kuweza kuwaendesha. Mimi naona ni haki yao Wanawake hao kudai waruhusiwe kuendesha bila pingamizi lolote lile.
Nchi chungu nzima za ME ambazo asilimia kubwa ni waislamu wanawake wanaruhusiwa kuendesha magari sioni kwanini isiwe hivyo kule Saudi Arabia.
Kwa kweli vipengele vipo.Na huyu mwanamke anayetumika kuleta fujo katika nchi ya kiislamu ni kwamba anataka kuvikiuka hivyo vipengele na anapotosha hili suala.
Mwanamke wa kiislamu si kwamba haruhusiwi moja kwa moja kuendesha gari lakini haipendelewi afanye hivyo.Ikiwa ana wasimamizi kamili wa mambo yake,yaani ana mume,watoto na watu wake wengine wa karibu kumuhudumia basi anatakiwa awe mfalme na atumikiwe tu na wanaume hao.Pindi hao hawapo basi anaweza kuendesha kwa dharura na asivuke 88km kutoka anapokaa na ajisitiri vizuri.
Kinyume chake hairuhusiwi kujitokea tu ili kutembelea marafiki,kwenda beach na kuzagaa zagaa ovyo mijini na mbali kutoka anapokaa.Kitu ambacho hawa vibwengo ndilo wanalolitaka.Hili ndilo ambalo Saudi Arabia wanalipinga na ni jambo halali.
Awe mfalme tena!? Na wale ambao hawajaolewa na hawana uwezo wa kuajiri dreva lakini wana uwezo wa kununua gari nao wafanyeje? Mbona sheria kama hii haiko kule Qatar, Bahrain, UAE, Iraq, Iran n.k.? Mimi kwa maoni yangu hii ni sheria ambayo haistahili kuwepo kabisa na kama Wanawake walioamua kuipingia wakipata support kubwa kutoka kwa wananchi wenzao basi si ajabu kabla ya mwaka huu kwisha ikafutwa. Nilifurahi kusikia mwanaume mmoja msaudia kule BBC leo akisema, "Wenzetu wanaenda mwezini, sisi hata kuruhusu wanawake kuendesha magari tunashindwa."
Hawa watawala wa Saudi Arabia wameyaona yale yaliyoyokea kule Misri, Tunisia, Syria na sasa Morocco kwa hiyo hili kama litapata support kubwa basi ni lazima watanywea tu maana wananchi hawaridhiki na mengi yanayofanywa na watawala wao.
Bubu mbona unataka kusema mambo usiyoyajua!.Awe mfalme tena!? Na wale ambao hawajaolewa na hawana uwezo wa kuajiri dreva lakini wana uwezo wa kununua gari nao wafanyeje? Mbona sheria kama hii haiko kule Qatar, Bahrain, UAE, Iraq, Iran n.k.? Mimi kwa maoni yangu hii ni sheria ambayo haistahili kuwepo kabisa na kama Wanawake walioamua kuipingia wakipata support kubwa kutoka kwa wananchi wenzao basi si ajabu kabla ya mwaka huu kwisha ikafutwa. Nilifurahi kusikia mwanaume mmoja msaudia kule BBC leo akisema, "Wenzetu wanaenda mwezini, sisi hata kuruhusu wanawake kuendesha magari tunashindwa."
Hawa watawala wa Saudi Arabia wameyaona yale yaliyoyokea kule Misri, Tunisia, Syria na sasa Morocco kwa hiyo hili kama litapata support kubwa basi ni lazima watanywea tu maana wananchi hawaridhiki na mengi yanayofanywa na watawala wao.
Bubu mbona unataka kusema mambo usiyoyajua!.
Ambae hajaolewa hakuna tofauti na aliyeolewa katika kutekeleza uislamu.Kwani yeye hana wazazi na kaka zake?.
Umesema "mimi kwa maoni yangu..... ".Nijuavyo mimi uislamu hauendi na mawazo ya watu.Wachilia mbali wewe ambaye si muislamu hata huyo msaudia uliyemsikia BBC leo kama ni muislamu hana nafasi ya kuleta ujinga wake.
Hiyo support unayoitaraji imeshindikana Libya unadhani itapatikana Saudia tena kwa jambo lenye maelezo ya kutosha juu ya uhalali na uharamu wake.
Hawa watawala wa Saudia kwa urafiki wao na Marekani wanaweza kweli kunywea lakini usidhani ndio watabadili kitu katika uislamu.Kubwa ni kuwa watakuwa na mwisho mbaya duniani na akhera watakuwa kuni za kuchomea waovu wenzao akina Firauni.Nawaangalie wenzao Yemen,Tunisia na Misri.Wale wote ilikuwa ni watu wa kunywea lakini wote Mungu hakuwatia nguvu kujitetea mbele ya raia ambao wamewafanywa wawe maadui zao.
Hizi kampeni tunajua kuwa zina malengo mengi.Baadhi yao ni kutafuta masoko ya vipodozi na kubwa ni kutaka kuuangusha uislamu kwenye shina lake kwa kudhani wamefanikiwa kwenye matawi kama vile Pakistan,Afghan,Iraq na kadhalika.

BAK you are always smart.
Sikiliza nikwambie!.Hakuna sheria na agizo la kiislamu linalopitwa na wakati na wala hakuna iliyoanza mwaka 47 na 1970.Maagizo yanayoanzia kwa Allah s.w hayana mwanzo wala ukomo.Sasa kama hao wanawake wanaopinga sheria hii iliyopitwa na wakati kama wangekuwa na kaka zao na Wazazi wao kungekuwa na haja tena ya kulalamika? Huu uislamu wa kuwakataza wanawake wasiendeshe magari upo Saudia tu? Mbona katika nchi nyingine za ME ambazo zina asilimia kubwa ya Waislamu hakuna sheria kama hii. Mie nakwambia we subiri tu hawa Wanawake wakichachamaa kudai haki zao na kuungwa mkono na asilimia kubwa ya Wasaudia wenzao basi hii sheria ya mwaka 47 itafutwa tu sijui ni kipengele gani cha kiislamu ambacho kinawakataza Wanawake wasiendeshe magari. Issue hii haihitaji kuwa Muislamu au Mkristo ndio uipigie debe ni sheria ya kipumbavu ambayo haikuwa na mantiki yoyote mwaka 1970 na haina mantiki yoyote leo hii 2011.