As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,526
- Thread starter
- #21
NaamIla kwa wanaowasubiri BAKWATA waendelee kuwasubiri
NaamIla kwa wanaowasubiri BAKWATA waendelee kuwasubiri
Kwani mwezi hatuwezi kuuona hadi huku bongo!Bakwata Jtano
Kwa hiyo kesho idd au, tuambizane kabisa maake wengine tushachoka kwenda kazin.
Vp ww umeuona?Atakaye kula idd kesho sawaa.
Atakaye kula kesho kutwa ni sawaaa.
FUNGENI KWA KUUONA MWEZI NA FUNGUENI KWA KUUONA MWEZI
IDD MUBAAAAARAK
Kumbe umeonekana saudia nilidhani hapa kwetu.kesho kazi Kama kawa
Je, polisi wameruhusu?Kwa wakazi wa Dar es Salaam wanaweza kwenda Katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Banjamin Mkapa swala itasimama hapo saa moja Asubuhi
Vilevile katika Viwanja vya shule ya Sekondari Mavurunza kimara korogwe
EID MUBARAK
Vp ww umeuona?
Nani kauonaNafata waliouona. Naamini hawawezi kudanganya
DUNIA KIJIJI.
Eid MubarakAsalam Alaykum warahamatullah wabarakatuh kwa wale ndugu zetu ambao wanafuata muandamo wa Kimataifa siku ya kesho InshaAllah tutaswali Eid El Fitr
Hii ni kutokana na kutangazwa kwa muonekano wa mwezi nchini Saudia Arabia vile vile Uturuki na United Arab Emirates nao wametangaza kuwa kesho Siku ya Jumanne Tarehe 4/6/2019 watasherekea sikuku ya Idd
Tutaendelea kuleta update za nchi nyingine zitakazo swali keshoView attachment 1116669View attachment 1116670
Mwezi unaonekana kwa vifaa sio kwa majicho tu
Wamalekani waliuona tangu January kupitia shirika lao LA NASA
Mbona tunaeleweka MadamMueleweke basi lini IDD huku Bongo
Nani kauona
Pamoja sanaEid ni kesho Dunia nzima hamna cha nani wala nani.
Hiyo ni kutokana na utofauti wa muandamo wa mweziMaana wengine wapo siku ya 28...wengine 29..