Tangu ufunguzi wa usajili katika ligi mbalimbali duniani SAUDI ARABIA imeonekana ndio kinara katika kunyakua saini za wachezaji wakubwa ambao waLItegemewa na kuwa kivutio kikubwa kwenye EPL, miongoni wa wachezaji hao ni
Christiano Ronaldo (Manchester United), Karim Benzema (Real Madrid), Ruben Neves (Wolves), Hakim Ziyech (Chelsea), Kalidou Koulibaly (Chelsea) na Ngólo Kante (Chelsea), mbali na hapo hivi karibuni wako mbioni kuina saini ya mwamba wa africa, Saido Mane kutoka Liverpool
Swali ni kwamba ni nini hasa dhima ya Saudi Arabia na EPL?
Hawana haki ya kuwa na ligi?WAARABU Huwa ni Waaribifu mno.
Wanawalipa wachezaji Mishahara ya kufuru.
FIFA inakataza MATUMIZI makubwa mno, INASISTIZA Fair play.
Mchezaji Huwa Akienda uarabuni Harudi na kiwango kile alichoondoka nacho.
HAWA WAARABU WADHIBITIWE.
FIFA AMKENI
Umemsahau na Riyaz Mahrez pia kutoka Manchester CityTangu ufunguzi wa usajili katika ligi mbalimbali duniani SAUDI ARABIA imeonekana ndio kinara katika kunyakua saini za wachezaji wakubwa ambao waLItegemewa na kuwa kivutio kikubwa kwenye EPL, miongoni wa wachezaji hao ni
Christiano Ronaldo (Manchester United), Karim Benzema (Real Madrid), Ruben Neves (Wolves), Hakim Ziyech (Chelsea), Kalidou Koulibaly (Chelsea) na Ngólo Kante (Chelsea), mbali na hapo hivi karibuni wako mbioni kuina saini ya mwamba wa africa, Saido Mane kutoka Liverpool
Swali ni kwamba ni nini hasa dhima ya Saudi Arabia na EPL?
Financial fair play ni kwa ajili ya UEFA tu... INAFANYA KAZI ULAYA PEKEE AKEWAARABU Huwa ni Waharibifu mno.
Wanawalipa wachezaji Mishahara ya kufuru.
FIFA inakataza MATUMIZI makubwa mno, INASISTIZA Fair play.
Mchezaji Huwa Akienda uarabuni Harudi na kiwango kile alichoondoka nacho.
HAWA WAARABU WADHIBITIWE.
FIFA AMKENI
Bado kuweka kombe litakalo itwa inter continental ballistic football cup ICBFC litakalokuwa na thamani kuzidi makombe yote unayo yajua hapo FIFA na EPL ndo watajua hawajuiWAARABU Huwa ni Waharibifu mno.
Wanawalipa wachezaji Mishahara ya kufuru.
FIFA inakataza MATUMIZI makubwa mno, INASISTIZA Fair play.
Mchezaji Huwa Akienda uarabuni Harudi na kiwango kile alichoondoka nacho.
HAWA WAARABU WADHIBITIWE.
FIFA AMKENI
Kumbuka China alishafanya hicho kabla ya waarabuWaarabu kwa sababu wanapesa wameamua kufanya umafia na sio muda ligi yao itakua yenye mvuto na itakubalika na itakua ndoto ya kila mchezaji kwenda kwenye pesa nyingi na ligi ya ulaya itafifia na kubaki ya kawaida tu ngoja uone miaka kadhaa mbele, mawakala washakimbilia saud arabia kufanya mikakati ya kibiashara kwa sasa
Sawa sisi kama fifa tumekusikia mkuuWAARABU Huwa ni Waharibifu mno.
Wanawalipa wachezaji Mishahara ya kufuru.
FIFA inakataza MATUMIZI makubwa mno, INASISTIZA Fair play.
Mchezaji Huwa Akienda uarabuni Harudi na kiwango kile alichoondoka nacho.
HAWA WAARABU WADHIBITIWE.
FIFA AMKENI
Mbappe saa 1 = 216 TZSh Million yaan kila dakika analipwa TZsh 3.6 MillionWAARABU Huwa ni Waharibifu mno.
Wanawalipa wachezaji Mishahara ya kufuru.
FIFA inakataza MATUMIZI makubwa mno, INASISTIZA Fair play.
Mchezaji Huwa Akienda uarabuni Harudi na kiwango kile alichoondoka nacho.
HAWA WAARABU WADHIBITIWE.
FIFA AMKENI
China walichemka mbonaWaarabu kwa sababu wanapesa wameamua kufanya umafia na sio muda ligi yao itakua yenye mvuto na itakubalika na itakua ndoto ya kila mchezaji kwenda kwenye pesa nyingi na ligi ya ulaya itafifia na kubaki ya kawaida tu ngoja uone miaka kadhaa mbele, mawakala washakimbilia saud arabia kufanya mikakati ya kibiashara kwa sasa