Wataaalam,ninashida na receiver ya mpeg4 HD yenye uwezo wa ku edit biss key ili niikamate vizuri PTV na nyinginezo,je receiver gani nzuri na bei gani?
Pia hiyo receiver iwe na uwezo wa kuonyesha lnb to receiver connection status bar,yaani namaanisha kama ilivyo media com 930+,ukiunga receiver na lnb itakuonyesha connection status bar ya 68%, maana kuna receiver nyingine.
Mfano technosat, hata uki connect lnb, haionyeshi connection bar yeyote mpaka uwe umepoint satellite husika ndo inatokea status bar,nawasilisha wataalam.