Satelite ZA Tv ZINANICHENGA HAPA

Satelite ZA Tv ZINANICHENGA HAPA

Sambuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
317
Reaction score
33
naomba mtaalam anisaidie
nina futi 6, lnb 3.
kU mbili
na Cband 1
mwanzoni zote zilifanyakaz pamoja, sasa nikipandsha ile beam napata ku ya k24 na C ya ITV.
nikishusha kdg napata ile Emmanuel hizi k24 na Itv zinakata, na utofaut uliopo kwenye beam navopandsha na kushusha ni inch 1.
nachoka kila mda akupanda juu kushusha na kupandsha.
 
Kinachotakiwa uanze kwanza kurekebisha hizi za bongo yaani za cband zikikubali vizuri kabisa nenda hizo za K24 kwa kuchezesha lnb peke yake tu usichezeshe dish hata kidogo baada ya kuzipata hizo hamia zile za Emanuel na zenyewe cheza na lnb peke yake bila kugusa dish,Yaani kwa kifupi hizo ku zote zinatakiwa uzilazimishe zishikie palepale hiyo cband iliposhikia,natumai kwa maelezo hayo ukiyafuata hautasumbuka tena.
 
Mkuu hata mimi hapa nina tatizo la Ku ya Emmanuel, napata vizuri sana freq zote isipokuwa freq za Citizen zimenigomea,je Lnb inaweza kuwa na tatizo baada ya kuwa niliifungua mfuniko wake nilipokuwa nimeunga na C ya Aljazeera hapo kabla? Au nakosea wapi pamoja na kucheza nayo kila kona.?
 
najarib hapa takuja na majibu

hio Citizen sikuwahi kuipata hata siku1 ktk Ku au hio C
 
Citizen ipo kote kwenye C-banb palepale inapopatikana Itv na pale inapopatikana emmanuel tv ila sio rahisirahisi ya ku-band mpaka iwe na signal kali kidogo hivihivi utakesha.
 
Kinachotakiwa uanze kwanza kurekebisha hizi za bongo yaani za cband zikikubali vizuri kabisa nenda hizo za K24 kwa kuchezesha lnb peke yake tu usichezeshe dish hata kidogo baada ya kuzipata hizo hamia zile za Emanuel na zenyewe cheza na lnb peke yake bila kugusa dish,Yaani kwa kifupi hizo ku zote zinatakiwa uzilazimishe zishikie palepale hiyo cband iliposhikia,natumai kwa maelezo hayo ukiyafuata hautasumbuka tena.

Mkuu nashkuru sana mambo yameenda vyema.
Kinachonisikitisha hii KU ya Kenya Imebaki Ch moja tu ya K24 pekee zingne nadhan wamehama,
Msaada wako kama kuna freq zozote unazofaham naomba
 
mimi namshauri apate dishi la futi 8 litafanya kazi vizuri kwa matakwa hayo yote anayoyataka.Futi 6 beam ni ndogo.yanasumbuwa sana.
 
Back
Top Bottom