CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Nasikia Simba wanataka kushitaki CAF, FIFA na CAS ili kutaka kadi ya Emma Okwi ifutwe ili acheze na Yanga tarehe 3 Oktoba.......Ingawa inafananishwa na picha za kihindi lakini no sweti,JKT RUVU amekiona cha moto!
Bado simba na wajinga wajinga wenzie,tena hao simba ndio ninausongo nao balaa.
Yanga 4-1 JKT RuvuLigi gani hiyo iliyoaanza leo?!..
Hahahaaaaa!Yanga 4-1 JKT Ruvu
Mkuu hata mimi nimeisikia hiyo.Nasikia Simba wanataka kushitaki CAF, FIFA na CAS ili kutaka kadi ya Emma Okwi ifutwe ili acheze na Yanga tarehe 3 Oktoba.......
Wanadai kadi ya Okwi( ambayo ilikuwa ni straight red card) isipofutwa hawaingizi timu uwanjani na wanaenda mahakamani..........
Lol!!!!
Kufanya nini?Ha ha ha ha ha ha!
Mkuu leo huendi MABWE PANDE?
Kwani siku ile mlipopigwa na wazee wa miwa bao3 uliendea nini MABWE PANDE?Kufanya nini?
leo mlifundishwa na manji hadi kupata huo ushindi? au yule yule mliemtimua?Ligi gani hiyo iliyoaanza leo?!..
Kwani siku ile mlipopigwa na wazee wa miwa bao3 uliendea nini MABWE PANDE?
Yanga 4-1 JKT Ruvuleo mlifundishwa na manji hadi kupata huo ushindi? au yule yule mliemtimua?
Ingawa inafananishwa na picha za kihindi lakini no sweti,JKT RUVU amekiona cha moto!
Bado simba na wajinga wajinga wenzie,tena hao simba ndio ninausongo nao balaa.