sasa wimbo unasema "um a single lady"...ww kidume unakata mauno kwenye stage..

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
weekend na vijambo...
watu wanacheza kila DJ anaoachia hewani...
nyimbo zingine hazileti maana ukicheza mvulana...kwa mfano rihana anaimba "if i were a boy"...mnisamehe sauti yangu mbaya...haya ww kidume unajidai unau-feeeel wimbo...unashika na kifua kabisa...
nyambafuu...
niko Q bar karibuni!
 
kaka ww ni mjanja...
hutaki kukosa swali...
au au nyiiingi af yote majibu bhana...
lolest!!
 
Dancing floor hawajapanua wala nini mkuu, ila ni pazuri kwa kusafisha macho baada ya kazi ngumu za wiki nzima.......... Si unajua unapojibu swali lazima uwe wide?wewe kitu cha wapi mkuu?
 
Dume jingine linaimba wimbo wa Beyonce "I Am A Diva"
 
Dancing floor hawajapanua wala nini mkuu, ila ni pazuri kwa kusafisha macho baada ya kazi ngumu za wiki nzima.......... Si unajua unapojibu swali lazima uwe wide?wewe kitu cha wapi mkuu?

mm dar moko...
nalamba maji ya dhahabu aise...
ila ntakuja moshi mkuu...nahc nxt week...
club mpya huko ni ip kwa sasa??
 
mie nimehamia Didiz, njoo niko kaunta.
Nna shati la mikono mirefu, jeusi na jeans ya blue.
 
Sawa sawa mkuu karibu sana, huku moshi club bado ni la liga tuu, huyu jamaa bado hajapata challenge ya a new club
 
hehe...huko kaunta huwa mnauza au mnanunuaa...
hapo Didiz kuna nn kipya mana hapa kuna mziki...navuta kamuda nizame hapo maisha cjui kuna jipya...
 
hapa twanywa tu
mie badae nazama joji n dragoni

hehe...huko kaunta huwa mnauza au mnanunuaa...
hapo Didiz kuna nn kipya mana hapa kuna mziki...navuta kamuda nizame hapo maisha cjui kuna jipya...
 
hehe...huko kaunta huwa mnauza au mnanunuaa...
hapo Didiz kuna nn kipya mana hapa kuna mziki...navuta kamuda nizame hapo maisha cjui kuna jipya...

Cha zaidi Didiz ni mbu wengi!
Halafu bagah club you just flow with the beat nobody listens to the words of the song!! Hahaha umenchekesha though!
 
Back
Top Bottom