GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Watu kadhaa pamoja nami sasa tumeamua kuunga mkono CCM kuendelea kutawala ZANZIBAR KWA HALI NA MALI. Baada ya kusoma maandiko ya mzee said mohamed, bargash,mzee omar na sultan hussen nimebadili msimamo nliokuwa nao kuhusiana na suala la zanzibar.1. Katika maandishi yao wameonekana dhahiri kujaza ubaguzi wa wazi na kudharau kazi walizofanya akina John Okello na waafrika wengine waliomwaga damu zao na za watawala washenzi waliowatumikisha na kuwanyonya. Jambo hii limeufanya moyo wangu ujikunyate kwa huzuni kubwa na baridi yabisi kwa vitendo hivi kwa kinyama na kuwanyima watu haki zao.Lakini pia nmegundua kuwa watu hawa wamekuwa na mkakati wa kutaka muarab arudi. Hili ni kosa kubwa katika karne hii ikiwa tunataka maendeleo. Vijana wengi kwa sasa wameamua kuunga mkoni jitihada za CCM kuendelea kutawala zanzibar hasa baada ya kuona kuwa kuna watu wasiotutakia mema kabisa.Tumeshahudia nchi nying ambazo zina asili ya waarabu zikiwa ktk machafuko makubwa na ugaidi hata huku jiran ndugu zetu wa somalia wamekuwa na ukatili mkubwa sana dhidi ya waafrika wengine kwa kuwalipua,kuwakata vichwa na kuwabaka kwa visingizio mbalmbali. Vijana wengi tumeangalia hoja zinazotolewa na wale wanaotaka muarab arud au kuwe na utawala wa nduguze zanzibar tukaona ni za hatar sana kwa usalama wa taifa na east afrika. Hivyo nasisitiza kuwa ni sawa na naunga mkono CCM kuendelea KUTAWALA huko zanzibar na ikija kutokea chama pinzani kikashika madaraka tanzania bara kisiruhusu CUF kutawala zanzibar. Ni kosa kubwa la kiufund. Nashukuru sasa nimefunguka. Hatuwez rudisha Miarabu ije kututawala tena kama ambavyo hakuna chama chenye kutaka kuwaleta wazungu.