Ukiwa unasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine utakutana na Bango linalo kukaribisha KARIBU IRINGA, TANGA N.K
Lakini ukiwa unaingia Tarime utakutana na Bango kama hili.
Si Tarime tu kwaujumla unapoanza kuingia mkoa wa Mara utakutana na maneno hayo. maanayake, sasa unaingia mkoa wa Wanaume. wanawake kama WAHAYA ndio husema karibu mkoa wa Kagera