Kumbe ukikaa darasani hata kama kilaza Akili inaweza ikakuvamia nawe ukashangaa. Mi tangu nov.mwaka jana kuna mtu aliniaidi kuja ku unlock moderm yangu,nlipokuja jukwaa ili nkagundua watu wanatupa direct link ktk google. Juzi nlipoingia kwa ofsi nkaanza utundu,nkapata direct link rais,yani unarequest code na kufungua moderm ndani ya sekunde 48. Nimefungu Huawei ya boss na wengine,sasa ofsini naitwa IT mgr badala ya mhasibu teeh teeh! Teeh! Jumatatu ntadeal na ZTE vodafone.