Sasa tunakaribia patamu

Ni miezi michache tuu bodaboda kajiingiza babaran bila tahadhari pale mataa ya TAZARA, huku gari zikiwa zimeruhusiwa... Alipondwa na wala hakutambulika. Sekunde chache baboda wakafunga Babara. Ss kwa issue km hii tosha kujua akili za bodaboda.
 
Mengine yote sawa ila sembe hapana, acha wakulima tufaidike kuuza mazao kwa bei inayoendana na jasho letu.
 
Max atatoka kweli huko aliko
naona kama mnapepea moto
 
Ushakula michembe umeshiba kinachobaki ni kuropoka eti halali? Halali ipi?
Nyingeza ya mshahara halali hatuioni.
 
11. bei ya sembe yapaaa
Inanikumbusha mwaka jana ilipopanda bei ya mchele. Serikali ikawa lawamani. Ilipoagiza mchele toka nje kufidia upungufu, ikawa lawamani tena michele ya wazawa inaozea maghalani!! Kuwaelewa watanzania ni ngumu. Ni vyema kutosikiliza kelele, kwani kadri unavyoelekea sehemu sahihi huwa zinazidi ili ugeuke na kuwa jiwe ( hadithi ya Baba wa Taifa. JK Nyerere).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…