Nafasi ya DC Mtwara ipo wazi.Tatizo ni magufuli kivipi? Any way utajificha kwenye kivuli cha kutokamilisha jina ila dhamira yako inaonekana wazi unakusudia nini!
MTU alaumiwe kwa lawama za dhahiri sio mihemko ya matukio na hali bei ya sembe inapaa tatizo ni magufuli sawa na siku mkisikia vifaru vya adui vinaikaribia nusu ya nchi tokea upande wa adui mtamlaumu nani kama mpk sembe mnamlaumu magufuli mwacheni huyu mzee apige kazi kuna mambo ya kumnyoshea kidole yeye moja kwa moja ila mengine hapana baada ya miaka mitano tutampima tena ila kwasasa anafanya vema labda kwenye Uhuru wa kutoa maoni hapa ndio anapokosa kredit ila mengine hapana tuwe wazi.
1. Bodaboda twafunga barabara Mbeya.
2.Jaji agoma kujitoa - kesi ya CUF.
3.Max anyimwa dhamana.
4.Lema anyimwa dhamana.
5.Ben Saanane haonekani.
6.Maiti zakutwa ndani ya mifuko.
7.Rais afumua sisiemu.
8.Bei ya sembe yapaa.
Mungu ibariki Tanzania manake tunakoelekea tunaambiwa ni kuzuri zaidi.
Utahukumiwa kwa kumpoteza BenTatizo ni magufuli kivipi? Any way utajificha kwenye kivuli cha kutokamilisha jina ila dhamira yako inaonekana wazi unakusudia nini!
MTU alaumiwe kwa lawama za dhahiri sio mihemko ya matukio na hali bei ya sembe inapaa tatizo ni magufuli sawa na siku mkisikia vifaru vya adui vinaikaribia nusu ya nchi tokea upande wa adui mtamlaumu nani kama mpk sembe mnamlaumu magufuli mwacheni huyu mzee apige kazi kuna mambo ya kumnyoshea kidole yeye moja kwa moja ila mengine hapana baada ya miaka mitano tutampima tena ila kwasasa anafanya vema labda kwenye Uhuru wa kutoa maoni hapa ndio anapokosa kredit ila mengine hapana tuwe wazi.
Haya weka details zakoTatizo ni Magufuli
1. Bodaboda wafunga barabara Mbeya.