Tulikwazana.Tulisemana.Tuliudhiana.Tulikaripiana.Tukachukiana.Tukatukanana.Tukakosoana.Sasa kila mmoja wetu amesikia,ameona na kuelewa. Ya wanaume yatazingatiwa na ya wanawake yatafanyiwa kazi.Tulifanya hivi katika nia ya kurekebishana na kuimarishana. Tukiimarika kimahaba,tutaimarika kiakili na vivyohivyo kimaendeleo. Utlivu wa moyo ni kila kitu. Moyo ndiyo injini ya binaadamu kwa kusukuma damu,hamu,fahamu na utimamu.
Biffu la vibamia na magogo+usafi wa papuchi nadhani..........eh.......... mbona Zahra white huja mention ili liishe vizuri biffu bila kumsahau aje hapa halafu pambano liishe au liendelee,vijana wa kiume kwa kupiga counter ni noumah
Biffu la vibamia na magogo+usafi wa papuchi nadhani..........eh.......... mbona Zahra white huja mention ili liishe vizuri biffu bila kumsahau P 25 aje hapa halafu pambano liishe au liendelee,vijana wa kiume kwa kupiga counter ni noumah