Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 875
- 960
Kwa kipindi kirefu sasa ndoa na Mahusiano yamekua yakiingia kwenye migogoro na hata kuvunjika kabisa katika kuliona hilo tatizo sugu linaloendelea sasa katika jamii yetu ndugu Iman matabula akaamua kuandaa KITABU CHA USALITI WA MAPENZI ambacho ni msaada mkubwa sana kwa
Wenye ndoa wakikisoma na wakawa Tayari kuyafuata mafundisho yaliyomo ndani ndoa zitadumu milele na kwa upendo. Na kwa wale ambao wanatarajia kuoa wakiyafuata mafundisho yaliyomo watakuwa ni waume na wake bora katika ndoa zao
Hatimae kitabu chetu cha Usaliti wa mapenzi sasa kimetoka rasmi.
Jipatie nakala yako sasa kwa shilingi (3000) elfu tatu tu. Wasiliana nasi kupitia namba 0752018619 na 0763261711