Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Wakuu,
Kenya is being led by a government that has run out of ideas to say the least. Jamaa walifikiri kuiba kura
nd'o kutawala nchi! Kura waliiba na sasa wameshindwa ku-govern, ishu imekua 'Raila this mara Raila that'
mtindo mmoja. Kama asemavyo mfianchi, hii ishakua serikali ya visasi.
Muacheni Raila aitwe Raila jamani. Hamumuwezi!
Ngongo, ukwelikitugani,
Ukweli ni kwamba Raila hataki kukubali kwamba alishindwa kwenye uchaguzi (hta kama kura aliibiwa kama unavyodai), anatakiwa kuheshimu serekali iliyopo madarakani, hayo afanyayo hayamsaidii hata kidogo
Wanamuogopa Raila wanatamani hata angehama waishi kwa amani, wanajua waliiba kura na wanajua hawawezi kuongoza nchi sasa wanarukaruka tu, mara No mara traffic huu ujinga tu, nani hamjui Raila..
Mkuu,
nenda ukasome kauli za jamaa wa IEBC juzi walipoaambiwa walete takwimu za chaguzi iliopita.
Hapo nd'o utajua kua kura ziliibiwa... nenda hapa... https://www.jamiiforums.com/kenyan-...nyas-2013-election-that-will-not-go-away.html
Hii hapana ishu ya Raila kukataa kushindwa bali ni kutetea haki ya upigaji kura. Protecting the right to vote and the right for your vote to be respected and counted as equal....and in a transparent manner.
Ab titchaz,Wakuu,
Kenya is being led by a government that has run out of ideas to say the least. Jamaa walifikiri kuiba kura
nd'o kutawala nchi! Kura waliiba na sasa wameshindwa ku-govern, ishu imekua 'Raila this mara Raila that'
mtindo mmoja. Kama asemavyo mfianchi, hii ishakua serikali ya visasi.
Muacheni Raila aitwe Raila jamani. Hamumuwezi!
Ngongo, ukwelikitugani,
Hii serikali ya Jubilee itaipeleka Kenya pabaya sana.
Why should the government whine about un-returned cars instead of seizing them. Does Uhuru or Ruto now want the public to help them get the cars back. What a wimp government!
mara nyingi huwa nasema serikali ya jubilii ni ya wakikuyu walafi na few kalenjins...sasa ni aibu isiyozuilika kwamba uhuru hawezi tembelea sehemu ya nchi anayotawala...huyo msemaji wa serikali hovyo sana magari anayomiliki raila yanausiana nini na kuzomewa kisii...poleni sana wakenya kwa kweli huyo rais wenu nazani hana amani kabisa..ikulu imekuwa chungu kwake.
raila ni mwanasiasa mwamba wa Africa serikali ya jubilii haiwezi kumzuia kufanya kitu.watabaki wana blame tu..mwisho wa siku wanatumia muda mwingi ku dwell on raila badala ya kufanyia kazi manifesto zao.
leo hata wakalenjin wameanza kupanga mikakati ya kuwachukia wakikuyu,south rift wanajipanga..
Ila mimi nafikiri Serikali ya Mh Uhuru,ikumbuke ya Zambia baina ya hayati Chiluba alivyojaribu kumfanyia mzee Kaunda,matokeo...sifa ya waafrika hatuishi hivyo,Kenya ni ya Wakenya wote