KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,468 Jul 30, 2011 #41 Matatizo hayajaanzia kwa lowassa!matatizo ya meanzia kwa Rais mstaafu Mwinyi na wamaleshia na iptl mengine nikumtafuta mchawi lowasa amechafuka kwakuwa yeye alikuwa waziri mkuu!ila michongo ilianzia channel zajuu !
Matatizo hayajaanzia kwa lowassa!matatizo ya meanzia kwa Rais mstaafu Mwinyi na wamaleshia na iptl mengine nikumtafuta mchawi lowasa amechafuka kwakuwa yeye alikuwa waziri mkuu!ila michongo ilianzia channel zajuu !
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Jul 30, 2011 #42 We unacheza na Mmeru Mmasai, achana na EL jamaa ni noma, bado kidogo tu watu watampenda sana
N nrango Senior Member Joined Jun 6, 2011 Posts 102 Reaction score 24 Jul 30, 2011 #43 Njowepo said: Jamani tuenzi maneno ya mwalimu juu ya Lowasa tusije pata laana ya baba wa taifa uko aliko. Nasikia alimwambia kijana utajiri wote huu umeutoa wapi? Click to expand... Mwalimu sio mungu,Lowassa ni chapakazi hilo kila mtu anafahamu.
Njowepo said: Jamani tuenzi maneno ya mwalimu juu ya Lowasa tusije pata laana ya baba wa taifa uko aliko. Nasikia alimwambia kijana utajiri wote huu umeutoa wapi? Click to expand... Mwalimu sio mungu,Lowassa ni chapakazi hilo kila mtu anafahamu.
S Smafuru Member Joined Jul 25, 2011 Posts 37 Reaction score 6 Jul 31, 2011 #44 Lws kweli ni mchafu kiasi hicho ?na je, wana monduli wanamu ID vp?anaejua za monduli anipe kidogo.