Tunataka uwezo siyo zamu. Salim si ni ninyi ndiyo mlimkataa. Kwani yeye siyo Mzanzibari??
Baada ya wananchi wa upande wa bara kutoa rais wa Jamhuri ya Nuungano mara 2 mfululizo ni vema sasa wanzetu wa Bara mkatuachia ndugu zenu wa Visiwani urais hapo mwaka 2015. Hii itasaidia kuenzi muungano wetu ulionzishwa na wale viongozi wetu mahiri mzee Karume na Mwalimu Nyerere.
Baada ya wananchi wa upande wa bara kutoa rais wa Jamhuri ya Nuungano mara 2 mfululizo ni vema sasa wanzetu wa Bara mkatuachia ndugu zenu wa Visiwani urais hapo mwaka 2015. Hii itasaidia kuenzi muungano wetu ulionzishwa na wale viongozi wetu mahiri mzee Karume na Mwalimu Nyerere.
huo ujinga wa kupeana madaraka kama mbio za vijiti ulishaisha zamani-sasa ni muda wetu watanganyika kufanya mambo yao wenyewe-hata hawa viuongozi wa zanzibar huku tanganyika ni wa kuondoa kabisa-Baada ya wananchi wa upande wa bara kutoa rais wa Jamhuri ya Nuungano mara 2 mfululizo ni vema sasa wanzetu wa Bara mkatuachia ndugu zenu wa Visiwani urais hapo mwaka 2015. Hii itasaidia kuenzi muungano wetu ulionzishwa na wale viongozi wetu mahiri mzee Karume na Mwalimu Nyerere.
Tunajua hujuma ambayo wabara wanatufanyia sisi watu wa Zanzibar hasa kwa kuhakikisha kila mara makamu wa rais wa muungano anatoka Pemba na pia tunajua jinsi mlivyomnyima rais wetu wa znz asime makamu wa pili wa rais wa muungano ila ukweli unabaki pale pale 2015 ni zamu ya znz najua manasara hawapendi hilo
zanzibar haifai waje watutawale huku tanganyika-ni sawa na wewe uende kenya then utake kuwa rais wao-kuna kiongozi gani wa zanzibar ambe ni mtu wa tanganyika?Urais siyo mbio za kupekezana vijiti. Rais ni mtu anaye qualify. Kama ni Zanzibar, Dodoma, Arusha, Mbeya......
huu muungano sisi pia hatuutaki-ngoja katba ibadilike ndo mtajua tunamaanisha niniNi kweli hatuutaki lakini kwa sababu nyie mnaung'ang'ania basi na sisi ni haki yetu kutoa rais tena mara mbili mfululizo kama nyi yaani 2015 na 2025
hamna mtu mwenye quality za urais kwa sasa.Salim Ahmed alifaa sana ila kwa chuki na fitina za wazenji mkamkataa sasa sikilizieni sana tuNi kweli hatuutaki lakini kwa sababu nyie mnaung'ang'ania basi na sisi ni haki yetu kutoa rais tena mara mbili mfululizo kama nyi yaani 2015 na 2025